@kimluxefurniture: Dining table safi imara ya Inayodum kwa muda mrefu. mbao tupu na Finishing ya maana dining table yawatu 6🔥🔥 Kama una space ndogo nyumbani kwako basi hii inakufaa 💯 #viralvideo #tanzaniatrending #creatorsearchinsights #pyfツ #furneture
Wafanyabiashara wote wangekua kama ww kiukwel ingekuwa safi sana, unajibu bei wateja na kuwafafanulia bid haamin na ushaul juu. Mungu akuzidishie na kukulinda kwwnye kazi zako🙏❤️
2026-06-11 10:50:05
25
Tabasam classic wer :
bei gani ya watu 6
2026-06-11 18:00:31
1
Mrs luppa og❤️❤️❤️ :
me naitaji ii bei gan
2026-06-11 17:56:09
1
Dawa_za_uzazi_wanawake :
Nice
2026-06-11 12:19:46
1
baby girl 👶 :
mashallh nzuri sana🥰🥰🥰
2026-06-11 08:29:52
2
salkhanmamy :
unapatikana wapi?
2026-06-11 07:06:04
1
Rachnie :
bei gani?
2026-06-11 13:00:59
1
cute-ney :
ya watu sita
2026-06-11 06:56:14
1
nataliebondo :
wapi mpo
2026-06-11 10:29:45
1
Tina :
Nzuri kweli
2026-06-11 07:27:56
1
Marypeace :
ipo mkoa gani?
2026-06-11 12:45:59
1
Hellena Bonifas :
watu4 ya mbao bei gani
2026-06-11 10:24:04
1
MaryJMomy🥀🌹 :
beiiiii
2026-06-11 15:00:00
1
shay :
watu wawili bei gan
2026-06-11 08:55:48
1
lightness Ngowi :
mnapatkana wap boss
2026-06-11 09:05:14
1
magda :
ni shingapi ya watu watatu
2026-06-10 12:59:09
5
crizeyaden7 :
Shingapi
2026-06-11 08:49:20
1
zuuh🥰 :
unapatikana wapi
2026-06-11 07:14:50
1
Malaika :
bei gani ya watu sita au nne
2026-06-11 16:36:35
1
maryndimubenya :
Morogoro sabasaba kwa sehemu gani??
2026-06-11 09:09:02
1
Fauchoddy sweet cake :
Natamani mje kwanza nyumbani kwangu ndio muangalie ndio mnitengenezee
2026-06-11 06:59:34
2
saumu adhumani :
nanikitaka ifike Kenya inawezekana
2026-06-11 07:44:53
2
It's Nahya ❤️💋 :
🙌🙌❤️umenyoosha
2026-06-10 19:58:42
3
jacklinecode :
sh ngapi!?
2026-06-11 08:12:19
2
To see more videos from user @kimluxefurniture, please go to the Tikwm
homepage.