jmn mungu uishieeee tusaidie uyu baba apate ushindii kama daudii 🙏
2026-06-10 17:04:42
15
PIUS YAMUNGU BUSWITA :
HANA HOJAAAA
2026-06-12 04:37:49
0
Ği Reuben :
Mungu tuone wanao,na ninajua kwa jinsi ulivyo tubariki Tanzania kujiita masikini haifai kabisa hata kidogo Mwenyezi MUNGU tenda jambo utufungue akili wanao ili haki itendeke kwa kila mmoja mmoja wetu Eeh MUNGU baba tukumbuke wanao Amina
2026-06-12 16:02:53
0
DNP :
mungu kama ni kweli unatupenda tunakuomba huyu tundu afanye jambo kama ulivyomuumba kama kweli ni kiongozi Bora kwa alivoongea tunakuomba kama nelson Mandela wa Africa kusini 🙏
2026-06-12 13:04:22
2
Asimwe deus :
Ayubu alipata majalibu miaka mingi ww ni nan usiptie majalibu kama hayo mungu atakushindia nina imani
2026-06-11 05:53:21
10
swekebaba :
Tumekumis babaaaaaa
2026-06-10 16:17:38
5
geofreyjohn525 :
mungu ingilia kati mtumishi wako atoke
2026-06-11 07:47:50
7
Saimon Amos :
mungu msaidie tundu lissu awe rais wa Tanzania maana huyu ndo mtetezi wa Tanzania
2026-06-12 11:40:23
1
Hansi Kayeke :
Mr. President
2026-06-11 09:23:42
2
danieljohn43273 :
ipo siku tuu
2026-06-10 17:05:42
4
CHARLES ALOYCE :
2026-06-12 12:30:06
0
said . s . b :
fact
2026-06-11 11:52:21
1
user8111261996907 :
Mungu Baba wewe watosha kwa yasiyowezekana kwa wanadam
2026-06-10 19:05:43
2
MZALENDO TZ :
We pray for you Father
2026-06-10 23:12:31
2
Pili Jacob :
kweli kabis
2026-06-12 14:13:45
0
ngome225 :
jah almighty wisdom
2026-06-12 11:08:44
0
PAULO SAMWELI :
mwamba
2026-06-12 06:17:12
0
furaha :
Mungu atatenda
2026-06-11 09:11:49
0
user7319126820929 :
yan ck ipo
2026-06-10 13:51:43
1
Amman :
Mungu akulinde mzee,.
2026-06-11 07:39:04
1
Khadija Kmwaipaya :
mungu atupe jibu lilozir
2026-06-11 18:53:56
0
Alexander Great :
AKILI kubwa sana Tundu Lissu
2026-06-12 11:24:46
1
Saidi Kidaha :
mungu akusaidie sana na hao wanajiita wenye nchi acha tuone
2026-06-12 09:35:09
0
Lameck Emmanuel :
iyoooooo iyoooo
2026-06-12 15:16:20
0
Anord Kemiaga :
eemungu kama jinsi uishivyo tunakuomba umbariki sana huyu baba
2026-06-12 12:09:23
0
To see more videos from user @bruno.hildo4, please go to the Tikwm
homepage.