@assad_mzururaji: Je, Unajua kuwa Uwanja wa kwanza wa Ndege wa Dar es Salaam haukua Ukonga wala Kipawa?#travelling #tanzaniadestination #tourist #tanzaniaaviation

Assad Mzururaji
Assad Mzururaji
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 10 June 2026 07:51:01 GMT
92886
3540
42
326

Music

Download

Comments

jkcaraccessories04
John :
asante sana kwa historia nzuri, nimekaa kurasini miaka na miaka sikujua kama kulikuwa na uwanja wa ndege kipindi cha wajerumani
2026-07-19 07:37:15
1
mtenda85
Mtenda :
kaka kama hutojali naomba unifafanulie matumizi ya hizo terminal 1,2 na 3
2026-06-12 05:19:35
4
kipchirchir417
Kipchirchiri :
umekwepa neno Magu
2026-06-12 05:40:36
7
mm92309
Kwenye One and two :
bila picha tutaaminije? na hakuna reference
2026-06-10 17:18:14
7
mmkundasai
mm Kundasai :
terminal 3 ilianza lini
2026-06-10 18:35:54
3
alcopopke
user8583042679142 :
napenda content Yako from Nairobi
2026-06-10 15:59:46
1
facundo_oogway
facundo_oogway :
Keep the good work man👏🏼
2026-06-10 15:14:57
4
navigator.chindul
Navigator Chinduli :
nakukubali sana
2026-06-12 11:36:48
2
kulunge_sk
Kulunge_sk :
daaah kwel kuoitia account hii ni zaidi ya historia ya darasani hii ni real story!!!
2026-06-10 08:13:10
7
abduly.kidary
Abduly kidary :
DAR_ES_SALAAM
2026-07-17 01:56:07
1
mariba612
amosimariba :
kwenye miradi yote miwili umesema ulianza mwaka gani na kumalizika mwaka gani lakini huo mradi wa 3 hujasema ulianza mwaka gani na kumalizika 2019
2026-06-25 09:23:10
1
mtenda85
Mtenda :
maashaallah najifunza kupitia wewe
2026-06-12 05:12:00
2
user1087030143387
Kim_spoiler :
kwajinsi navyopnda history na iman kupitia wew ntzidi kujua vitu vingi nashkuru sana kaka.
2026-06-14 00:19:59
3
baunce_back
Rastradamus :
katika shule ya msingi Chang'ombe iliyopo DUCE sehemu tuliyokuwa tunatumia kama assemble tuliambiwa ilikuwa moja ya runway ya ndege
2026-06-10 19:30:47
3
binkhatibually
mnyika_mtumba :
umetoa historia nzuri ila umeboronga kwenye terminal 3,umeitaja 1 na 2 miaka iliyoanza kujengwa na kukamilika lakini hii yakaribuni umeshindwa kujua ni mwaka gani imeanza au labda unaajenda yako ya siri.temino 3 imejengwa kipindi cha kikwete
2026-07-03 20:47:10
0
majige.elieza
Majige Elieza :
ulianzia kurasini mpk uwanja wa sabasaba
2026-07-16 08:24:35
0
stephenkiboma
Stephen Kiboma :
katikati ya in door stadium na salvation army ndipo uwanja ulipo kuwepo baadae palitumika kama ghala la chakula kisha uwanja wa mkapa.
2026-06-12 17:07:08
1
_yustobarnaba
Yusto Barnaba :
🔥🔥
2026-06-10 10:40:13
2
kiresi.muya
Kiresi Muya :
🥰🥰🥰
2026-06-12 06:29:48
2
allyjux6
allyjux696 :
🤔🤔🤔
2026-06-10 16:03:31
2
mariam47824
mariam 🥰 :
🥰🥰🥰
2026-06-16 10:53:34
2
street_tanzania
street_tanzania :
🔥🔥🔥
2026-07-22 22:05:00
0
To see more videos from user @assad_mzururaji, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About