@automatewithai_tz: Unakua unasikia API, CLI, na MCP alafu kichwa kinawaka moto? Hizi ndio njia tatu za kuconnect AI tools na Apps zako za kazi…. 1️⃣ API (Application Programming Interface): Njia ya zamani ya ku-connect apps. 2️⃣ CLI (Command Line Interface): Ile black screen inayofanya mambo kiurahisi zaidi. 3️⃣ MCP (Model Context Protocol): Teknolojia mpya ya 'plug & play' kwa ajili ya AI. Sasa utajua nini na lini? Jibu lipo ndani ya video hii. 🎥 👇 Drop comment hapo chini: Kati ya hizi tatu, ni ipi umekua ukiitumia mara nyingi? #AutomateWithAITz #AIInTanzania #TechSwahili #DigitalTransformationTz #APIvsCLIvsMCP

Reinafrida | AI Automation
Reinafrida | AI Automation
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 10 June 2026 08:39:53 GMT
9017
408
19
82

Music

Download

Comments

mrtuagize
Mr :
Tusome jamani 😂😂
2026-06-10 09:24:52
2
user7669941629588
Cheka master :
naomba uni dm WhatsApp please au weka mawasiliano yako
2026-06-10 17:21:39
1
jsallah13
jsallah13 :
Thanks a lot for your tips and AI insights
2026-06-11 04:09:52
0
ujuzikidigitali
ujuzikidigitali :
kwamba API Ni ya zamani😂
2026-06-18 19:24:04
0
allern.churz
Allern Churz :
lakini iyo Ai ili uweze ku connect lazima uwe umeilipia ? au ni bure
2026-06-27 07:55:51
0
prince_david5891
Koko :
sauti yako tu
2026-06-12 20:15:23
0
frolian_dev
Developer :
😂API ya zamani
2026-08-01 10:06:23
0
albertkhani
Albert khan :
tupo wengi tujaribu hii. https://wsendy.download
2026-07-16 10:45:38
0
shapiroman2
Chi square :
🙏
2026-06-10 09:02:14
1
josiahmchome
blackmadson :
🔥🔥🔥
2026-06-10 12:38:51
1
boyezzy9
CypherEzzy | Cyber & Ai :
🫡🫡🫡
2026-06-11 21:37:08
0
To see more videos from user @automatewithai_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About