@dadiebear_movies.series: Movie time with moods. 🍿🍿🎬🎬 ☠️FROM Kind: Series Year: 2022– Todate Rating: 10000.0⭐⭐️⭐️⭐️ HAKUNA KUTOKA: Mji wa kutisha unaowanasa watu wote wanaouingia. Hakuna njia ya kuondoka, na usiku viumbe wa kutisha huanza kuwinda. ⏰️AWAKE Kind: Movie Year: 2021 Rating: 100.00⭐⭐️ HAKUNA KULALA: Baada ya tukio la ajabu duniani, binadamu wote wanashindwa kulala. Kadri siku zinavyopita bila usingizi, dunia inaanza kuingia kwenye machafuko makubwa. 🐦 BIRD BOX Kind: Movie Year: 2018 Rating: 1000.0⭐⭐️⭐️ HAKUNA KUONA Nguvu ya ajabu inaangamiza binadamu. Ukiiona tu, unapoteza akili na maisha yako. Mama mmoja na watoto wake wanajaribu kuishi huku macho yao yakiwa yamefungwa. 🤫A Quiet Place Kind: Movie Year: 2018 Rating: 10000.0⭐⭐️⭐️⭐️ HAKUNA KUONGEA Katika dunia iliyovamiwa na viumbe wanaowinda kwa kusikia sauti, familia moja inalazimika kuishi kimya kabisa. Kosa dogo la kutoa sauti linaweza kuwa mwisho wao. WHATS UR BEST PICK 👌 🔥🔥🔥 #movies #recapfilmes #horror #tiktokviral #creatorsearchinsights