Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
API
Home
How To Use
Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
Home
Detail
@sack741:
Diana Reyes
Open In TikTok:
Region: PH
Wednesday 10 June 2026 11:38:17 GMT
399
15
0
2
Music
Download
No Watermark .mp4 (
82.75MB
)
No Watermark(HD) .mp4 (
82.75MB
)
Watermark .mp4 (
82.75MB
)
Music .mp3
Comments
There are no more comments for this video.
To see more videos from user @sack741, please go to the Tikwm homepage.
Other Videos
#outfit cowok berwarna
Real or fake 🤔😱😮 #suleymanege #LifeHack #keşfet
this new game is pretty fun #panicore #scary #horror #horrorgame #scarygames #gaming #screaming #scream #ghost #pov #funny #jumpscare #monster #coop #partyanimals #steam #viralvideo #gamingtok #viralvideos
#explore #احبك #مشاعر #حب #G
Namna ya kuchochea na Kuamsha Moyo wa KIROHO uliofifia ndani Yako. Kwanza Naomba utambue kwamba Swala la KIROHO ni Wajibu kama Wajibu wa Mambo mengine, Unahitaji Nidhamu ili KUWEZA kuchochea moto wa KIROHO usizime ndani Yako. Nidhamu Binafsi kwamba nimeweka Ratiba ya Kuomba ni saa kumi na Moja na ni lazima ufanye hivyo usijipe Excuse. 📌 unahitaji Kujidhabihu Ili moto wa Mungu usizime ndani Yako unapaswa kujitoa kwenye Mambo ya Kimungu bila Kujihurumia 📌unahitaji kujitunza,ili KUWEZA kurejea na Kumantaina MISINGI ya KIROHO. MAMBO YATAKAYOCHOCHEA KUMASHA MOTO WA MUNGU NDANI YAKO. 1)Kusifu na kuabudu: Tumia muda mwingi kuimba nyimbo za ibada zinazomwinua Mungu. Hii inafungua milango ya uwepo Wake,unaanza kuona Wepesi,unaanza kuona Ukuu wa Mungu,wingu linashuka unashangaa Umepata Mpenyo wa Kuomba na Utaona wepesi ndani ya Roho Yako na hata Ile Kiu iliyokata ya Kuomba na kuwa na Shauku na Mambo ya Mungu inarudi. Yohana 4:24: "Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli." 2).Tenga muda maalumu wa kuwasiliana na Mungu, Kwenye huo muda Omba Roho Mtakatifu akujaze Kiu upya,aondoe Kila Ukame na Ubaridi unaozuia usiombe. Luka18;1 Akawaambia mfano, ya kwamba imewapasa kumwomba Mungu sikuzote, wala wasikate tamaa. 3)Kusoma Neno la Neno la Mungu: Tafakari Maandiko ya Mungu kila siku,Tenga muda maalumu kwa ajili ya Neno,Neno la Mungu ni kama kuni zinazochochea na kutoa mwanga katika Roho Yako. Soma Neno,sikiliza Neno,Tangaza na Kukiri Neno. Zaburi 119;105 Neno lako ni taa ya miguu yangu, Na mwanga wa njia yangu. 4).Epuka Dhambi na Mazingira yote yanayochochea Dhambi.(Ishi Maisha Mtakatifu). Utakatifu huweka Mazingira mazuri ya Uwepo Wa MUNGU,Dhambi na Mazingira yake huzima moto wa Mungu ndani,hivyo ili uweze kuchochea moto wa MUNGU ndani hakikisha unayaepuka Mazingira ya Dhambi. 1Petro1;15-16 bali kama yeye aliyewaita alivyo mtakatifu, ninyi nanyi iweni watakatifu katika mwenendo wenu wote; kwa maana imeandikwa, Mtakuwa watakatifu kwa kuwa mimi ni mtakatifu. 5).Hudhuria Ibada;Nenda kwenye nyumba za Ibada kashirikiane na waamini wengine,shiriki Mambo na ratiba za kanisani zitakukeep busy na kuwaza namna Gani kazi ya Mungu inastawi na wewe unakuwa Baraka kwenye kazi hiyo,hii itakupa Wajibu na itakusaidia kuutunza Moto wa KIROHO ndani Yako. Ebrania10;25 wala tusiache kukusanyika pamoja, kama ilivyo desturi ya wengine; bali tuonyane; na kuzidi kufanya hivyo, kwa kadiri mwonavyo siku ile kuwa inakaribia. 6).Jizungushie watu waliojaa Mungu na wenye Kiu na Mungu. Chumba hunoa chuma,kadri unaona marafiki zako wanasonga mbele na Mungu,wanaomba,wanafunga,waamsha Wivu wa Kimungu ndani na wewe hutamani Kufanya hivyo,hivyo unajikuta Umeamsha Moyo wa MUNGU ndani Yako na Unauchochea. Mithali 27;17 Chuma hunoa chuma; Ndivyo mtu aunoavyo uso wa rafiki yake. Haya Machache yatamsaidia Mtu Mmoja. God bless you Pastor Glory Deoson Ng'wala
About
Robot
API
Legal
Privacy Policy