@chiefgodlovebillionaire_: Naenda Serena kula chakula cha ksh 500000 ambayo Tanzania ni Sh mil10 Nani mchana huu anataka na yeye nimtumie hela ya kula akanunue chakula hata kwa mama muuza mtaani mwisho wa hii video nimeambatanisha video za challenge za wanangu @mgogo_classc @untouchableo1 @yededee @plutotzp na @jeycash_tz unahisi kati ya hawa Nani kaua zaidi au warudie frool mpya warudie challenge mpya au wapewe hela zao??? Bytheway Nani hajala Kama hujala Nambie Mimi naenda kula chakula cha mchana Serena cha mil10