@vkbmedia: Mwamwindi alijikabidhi mwenyewe kituo cha polisi akiwa ameendesha gari lililobeba mwili wa Mkuu wa mkoa wa Iringa Dr Kreluu,"Chukueni Mbwa wenu'' Aliwaambia polisi makao makuu Iringa #Mwamwindi #VKBMediaUpdates

VKB Media
VKB Media
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 10 June 2026 13:50:31 GMT
144536
5815
39
40

Music

Download

Comments

wamisemoo22
Mr Juvent :
unamjua kwanini imeludiwa kama snema ni kutaka kuwapa ujumbe na kuwakumbusha watawala
2026-06-10 18:01:55
51
0623669694tagala
Emanuel Tagala :
Kwani zamani mkuu wa mkoa hawakuwa na walinzi, mbona miaka hii mkuu wa mkoa na escorts ya usalama kama wote
2026-06-11 10:25:21
11
magreth7051
Tufugeme malolo :
hakusema niwekeni ndani alisema n nimeua mbwa wenu Yuko huko kwenye gari yule askari akasjamgaa akatoka na kukuta ni mkuu wa mkoa na gari ni lake ndipo akamchukua na kumuweka ndani akaanza kutoa taarifa kwa viongozi
2026-06-10 17:52:35
19
ismailchilala881
chilala :
inaitwaje hiii move
2026-06-12 01:05:25
2
azrahcity537gmail
[email protected] City :
Huez simulia content kama hizi kisha ukaweka sura furaha
2026-06-11 10:03:26
6
schirodingerschig
schirodingerschiganger :
ila alistaili
2026-06-10 17:24:07
10
hajilubwaza
Haji Lubwaza :
Tuelezee basi ilikuaje hichi kisa halisi
2026-06-10 17:31:36
7
imeldampulule
rosa♥️ :
na hicho ndo kibuli cha wahehe
2026-06-10 22:08:06
8
amandabalama1
Amanda g :
Kuna mm mhehe nae subili kwa gam movie ya gabo ili nijue history
2026-06-10 23:24:46
5
de.chalkey
De Chalkey :
ila mkuu wa mkoa kama ndo ilivyo kwenye filamu,basi alizingua sana
2026-06-11 08:52:13
6
kheir.omar
Kheir Omar :
niliwh kujulz kw nn wasanii hawana film za historia ya nch Sasa jibu nmepata
2026-06-12 08:13:26
1
priscamsigwa7
priscamsigwa7 :
nakofia akavaaa🤣🤣🤣
2026-06-11 18:45:36
1
pabroescobar06
pabroescobar06 :
nani aliyemjua anayepewa story
2026-06-11 11:17:18
1
danielykasonda1
KASONDA :
mi ndio mfatiliaji maarufu wa comment
2026-06-10 21:14:40
2
linah7422
linah :
kuongea na mtu ambaye haonge ni ngumu sana maana atakufanyia kitu usichotarajia kabisaaaaa
2026-06-11 07:10:32
3
pearson188
sweetmpemba :
ngoja tutafute hiyo kesi tusome ili tuijue vizuri
2026-06-10 20:34:33
1
ugullumsaidi
UGULLUM SAIDI :
ulikuwepooo ??
2026-06-10 17:45:44
1
magreth7051
Tufugeme malolo :
weeee ulikuwepoooi
2026-06-10 17:47:48
5
nyangenda06
Lwehela :
Anavyosimulia unaweza hisi alikuwa anaona live,kumbe kasoma stori na yeye😁!
2026-06-12 20:25:24
0
livingicon_
livingicon_ :
Hii story 😁babu kutoka njombe alinihadisia mwaka jana..
2026-06-12 15:46:40
0
lame36mecks
Lame36mecks :
Achenii ujingaa sisii unatakaa movie ya zigambaa siyo story kamaa hiviii
2026-06-12 05:27:53
0
wamagangameupe
Mhogomchungu :
vidonda vya ujamaa na kujitegemea......
2026-06-12 01:09:46
0
paulyne.nick
HIKERS TZ tour and safaries :
nataka move ya mkwakwa
2026-06-11 10:03:10
0
priscamartin418
Prisca Martin :
weeeee kumbe na wewe ulikuepo haha
2026-06-11 09:41:50
0
feisaltv
Feisal Tv :
@feisal tv ameisimulia hii simulizi unaweza kumsapoti kwa kulike na kucomment
2026-06-11 08:02:08
1
To see more videos from user @vkbmedia, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About