@veriafya: Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Florence Samizi, leo Juni 10, 2026, amewaagiza Waganga Wakuu wa Hospitali zote za Umma nchini, kuanzia ngazi ya Taifa hadi Zahanati kuacha kuwatoza pesa za Matibabu Wajawazito na Watoto chini ya Miaka 5 kwani gharama zao zinalipwa na Serikali. Tuambie, umepokeaje Maagizo haya?
baruti hospital ya wilaya Kam private yan wanapend hela 🙌
2026-06-10 19:19:07
1
careenjohn4 :
adi hospitali za private
2026-06-10 18:09:20
0
macklin moyo :
sasa utakuwepo???
2026-06-10 14:30:31
0
bby face 🖤 :
saf sana mama ss tunaozaa kila siku mungu ametuona
2026-06-10 19:43:54
0
Praise17 :
Mmhhhhhhh😂😂
2026-06-10 16:00:15
0
THE NGOSHA comedy :
mh nashindwa nakasemee
2026-06-10 19:01:13
0
tulinagwe :
safi sana
2026-06-10 18:44:30
0
Niyeyeee :
mmh
2026-06-10 18:10:31
0
Lee’s Mum 💕 :
Mbona ni kawaida na tumezoea?
2026-06-10 17:16:09
2
MegaBox :
😁au sio
2026-06-10 15:19:19
0
it's naomy :
mmmmmmh
2026-06-10 18:45:43
0
mbiku3 :
mke wangu nimempeleka juz hospital ya wilaya masasi mjini mkkmaindo , ni mjamzito mimba miez 7 utra sound elfu 15 sijui wing wa damu jumla nimelipia ekfu 55 wakat sikh ya kwanza zahanati nilipa kupima mimba nk na bado
2026-06-10 18:23:18
0
Fetty Collection :
huduma gni bure msituambie matango pori juzi nimetoka kujifungua Kwa operation laki na nusu na ni hospital ya serikali mnaongea ila havitendew kazi🙌🙌
2026-06-10 20:15:33
1
Moses George :
moja wa Iringa wanalipishwa hela akina mama wajawazito, kuanzia anapo anza kupima ujauzito kwa mara ya kwanza hadi anajifungua kila akienda lazima alipie elfu 20 , na ultra sound elfu 20, hii ni hatari
2026-06-10 16:31:08
0
moshimariamu :
mbona majibu marahisi hivyo jamani. naomba watwambie tukitozwa pesa wapi tukashtaki
2026-06-10 16:48:47
0
DR HERRY NA UZAZ|+255742449224 :
😂😂 hospital Gani hizo..!! hizi hzi za serikali au ?
2026-06-10 15:35:00
4
georg :
Nikweli wanalipiswa wajawazito pamoja na watt.
2026-06-10 16:06:48
0
nuru khalid :
hata panadol hawapewi
2026-06-10 14:37:57
2
PABLO :
Ila tamisemi inasema kituo kijiendeshe bila kutegemea gawio la serikali na asilimia 80 ya wateja ni watoto na wajawazito
2026-06-10 17:50:56
1
kurnaf :
hakuna madawa.
2026-06-10 15:20:28
1
Shady Mtabibu :
labda sio nchi yangu
2026-06-10 18:26:57
0
vumili@ :
kweli kabisa jmn tumechoka
2026-06-10 18:28:08
0
To see more videos from user @veriafya, please go to the Tikwm
homepage.