“Nikumbushe, na tuhojiane; eleza mambo yako, upate kuhesabiwa haki.”
— Isaya 43:26
2026-06-18 06:29:16
36
🦋KyJn❤️🫰 :
Mimi ni muoga san wa ku mcommand MUNGU
2026-08-01 22:40:14
0
mimi :
da eclat huy mmoja nimeelew mim asanteee
2026-06-10 15:32:40
4
angaliacodevizuri :
amen
2026-08-05 15:12:55
0
Dadi collection tz :
Ila si kila MTU atajibiwa kwa njia ya maombi hayo vile alovitarajia nakumbuka kaka yangu aliumwa kifafa kilichoanza akiwa darasa la saba ambapo baadae haikuchelewa akaokoka alitangaza injili mpaka ajawahi anarudishwa amezimia au tunapewa taarifa yupo hospitali ko ilikuwa kila wiki anaokotwa aliumwa sana kuna kipindi iyo siku alipata nafuu akaenda mpaka madhubahuni Ali muulize Mungu kwa jinsi ninavyokutumikia kwa Nini uniponyi wakati Mimi naamini wew unaweza kila jambo nadharaulika, iko kipindi alikuwa kijana so nakosa ata MTU wa kunipenda nawasumbua wazaZ na ndugu, Nimechoka Kama huwezi kuniponya bora unichukue nije nipunzike kuliko Kuteseka nimechoka ukitaka kuendelee kuishi na nifanyie huduma yako wew nichukue tu aisee aliporudi tu Nyumbani ata kula hakula Alilala usingizi wa moja kwa moja yaani ukimwangalia Kama anaamka na amekufa anatabasam ko Mungu atakupa kule anachoona kitampendeza
2026-07-16 02:46:53
3
𝑻𝒉𝒂𝒕𝒌𝒂~ 𝒇𝒆𝒆𝒍𝒊𝒏✨ :
Thanks for teachin me❤️
2026-06-20 04:49:53
1
Madam C.E.O 🧿 :
Barikiwa sana🙏,kumbuka kubalance upepo kwa taili za gari inawasha taa ya upepo kutokuwa Sawa.
2026-07-27 00:35:54
1
mis_______save :
na pia usisahau kutoa ahadi Kwa mungu akikupa icho unachotaka utamfanyia nn
2026-07-25 09:58:45
0
Maggy_j :
ubarikiwe sana mpendwa kwa kutukumbusha hili
2026-07-21 19:58:31
1
tressy smart 🎀 :
hii ni kweli nina ushuuda
2026-06-23 15:47:02
2
Jrtz :
amen
2026-07-17 08:29:30
0
Rose James :
Kabisa
2026-07-15 21:36:01
0
Shubira Igakinga :
by the way unaendesha gari vzr
2026-07-13 06:49:55
0
Khadija Mwaluko :
Hapo kwenye kumkumbusha mungu ! Jaman how comes mungu akumbushwe
2026-06-10 20:09:32
1
dadream :
Inaitwa kudai ahadi na unaweza tumia mistari ya Biblia😍
2026-06-10 21:14:48
3
One and only :
Kuna mda najiuliza na Yy akikumbuka makosa yako je Aseme hustahili 😌
2026-07-23 17:46:47
0
ney💝 :
🙏🙏🙏🙏🥰🥰
2026-06-24 09:04:32
0
jacklin m :
☺️☺️☺️
2026-07-15 20:14:18
0
sashar salim :
🥰🥰
2026-06-10 16:57:20
1
To see more videos from user @eclat_tz, please go to the Tikwm
homepage.