@jodn_dona: Vita ya scorpion na Sub zero unaifahamu?? kufollow @Felidae for more #tanzania #movie #foryoupage #swahili #mortalkombat

Dona
Dona
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 10 June 2026 15:24:16 GMT
12600
779
27
11

Music

Download

Comments

director_sha9ine
Sharifofficial_ :
baada ya subzero (Bi han) kuuliwa na scorpion kwny Mortal Kombat 1...... kweny Mortal kombat 2 inaoneah kuw subzero alifufuliwa km noobsaibot( as dark shadow worrier)....Baada ya Bi-Han kufa, mdogo wake(Kuai Liang) alichukua jina la Sub-Zero mpya. Scorpion aliamini kwamba Bi-Han aliua familia yake pamoja na ukoo wake, hivyo akaanza kumwinda ili kulipiza kisasi. Baadaye, baada ya Bi-Han kuwa Noob Saibot, uadui huo ulibadilika kwa sababu Subzero mpya, Kuai Liang, hakuwa yule mtu wa zamani. Adui mwingine mkubwa wa Scorpion ni Quan Chi kwa sababu aliendesha matukio kwa siri na ndiye aliyekuwa sababu halisi ya kuangamizwa kwa ukoo wa Scorpion. swali: huyo subzero wa kwenye game ni (bi han) au mdg wake?
2026-06-10 20:40:48
1
_traveller255
B.BOY_TRAVELLER :
ww umetoa story nyingine sub-zero na scorpion walikiwa ni ndugu ila sub-zero ali saliti familia yake kwa kumuuwa baba yake na ndo mwisho scorpion akajua nenda ukaangalie mk1....
2026-06-10 17:58:36
3
tommy_kid6
Tommy_kid :
💪Respect mamen
2026-06-10 15:59:50
0
ismail_hassan_09
Ismail Hassan :
Noob saibot na scorpion wakizipiga nani ata win?
2026-06-10 20:05:54
0
zombieicon45
bakari mwegole :
as mbn sub zore anakuj kuwa yu jama mweny kivul nobo sijui nd jin lakee
2026-06-10 19:14:33
1
canal.gaming
CANALツBROKEN :
kaka mortal kombat zip za ain nying na story zinabadilika ww umezingumzia story ya mov ya 2023 tafuta morta kombat annihilation ya 1997 battle yao tofaut🥺
2026-06-10 17:12:42
2
falsafaboy1
🍀R🅾️meo💫... :
Lakini story ya game na mov yenyew zinatofautiana, vipi knobu saibon ni Naniii?
2026-06-10 18:51:06
0
ellyluck
ellyluck :
story ya movie kaka subzero bi han ndio muuaji
2026-06-10 17:53:40
1
kelvinfelix612
kevy :
Hanzo hasashi 🥷🏼👑
2026-06-10 17:57:25
1
nunua_istore
nunua_istore :
KWENYE NEW ERA KUAI LIANG NDO SCORPION NA SUBZERO NI MMOJA NA NDIO ANAKUWA CHANGED TO NOOB SAIBOT
2026-06-10 21:09:25
0
doct.from.quba
doct from quba :
ivi scorpion na subzero wakipigana nani anashinda
2026-06-10 16:08:53
0
rich_ally
RICH_ALLY :
ww hiyo movii maaruf
2026-06-10 19:52:59
0
iam_mcdonny
Quentin DonÇaprio :
ila hao wawili story zipo nyingi nyingi.. kila mk ina story yake tofauti
2026-06-10 18:27:07
0
maxmelamal0
Maxme Lamal :
kweli he
2026-06-10 15:50:57
1
gamemaster_25l
injustice 2 :
kwenye movie subzero ndo aliua sio Quan chi
2026-06-10 18:24:59
0
ellyluck
ellyluck :
ila kwenye mortal kombat 9 game ni kwan g
2026-06-10 17:54:09
0
rommygreat
rommy :
😳😳😳
2026-06-10 19:38:40
0
thekingosman16
King osman :
😁😁😁
2026-06-10 20:13:30
0
To see more videos from user @jodn_dona, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About