@bavicha_taifa: Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amewataka vijana wa kizazi cha sasa (Gen Z) kuishi maisha yao kwa ujasiri na kuyafurahia kwa kuwajibika. Amesema ujana ni kipindi cha kujifunza, kufanya kazi kwa bidii, kutimiza ndoto na kufurahia kila fursa inayopatikana, badala ya kuishi kwa hofu ya mitazamo ya wengine. "Gen Z, enjoy maisha. Ujana haujirudii; ishi kulingana na umri wako huku ukijenga kesho yako." #SikuYaVijanaDuniani ‎#FreeTunduLissu ‎#KijananaKatiba ‎#Tukutane Dodoma ‎

Bavicha Taifa
Bavicha Taifa
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 10 June 2026 16:08:26 GMT
82381
6029
201
529

Music

Download

Comments

alphonce2828
alphonce :
hawa ndo viongoz tunaowataka sasa
2026-06-11 06:56:30
250
kingfaar45
kingfaar45 :
Big time bro👏🏿
2026-06-11 18:42:48
0
hr.mselabilakuchoka1
Hr.mserla once again. no pain :
babaanguu Mimi uyo
2026-06-11 04:25:33
85
majingeii0
veracity :
Mtu huyu alikua mwalimu ndiyo maana akili imesimama sana,anajua stage za kila mwanadamu,asante walimu sector yenu ni nzuri sana walimu.👍
2026-06-11 04:55:50
80
victornassary9gma
toxic boy💀💀 :
umetisha sana kama odds za bayern Munich
2026-06-11 05:44:01
118
legacywealth_1
Blockchain Expert :
Big brain never Fail always time teller
2026-06-11 07:38:45
51
paradise.j5
paradise ♥️❤️🥰💐 :
nakupenda babaaaa😁
2026-06-11 17:04:32
7
dollyb553
Dolly B :
Nimezidi kukupenda mubaba wangu🥰
2026-06-11 17:31:17
13
millan_143
MILLER :
Makofi
2026-06-11 05:58:53
9
_confidential_90
IQ :
Heche kila swali ana majibu. Namkubali sana!
2026-06-11 09:09:10
30
ruahairinga
Mtavangu jr :
Safi Akili sana 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-06-11 00:29:51
21
vio.dollars
Vaileth zagalo🦋❤️♋️ :
Makamu akili kubwa kabisaa🙌
2026-06-11 07:26:41
21
gressimohelson
GressimoHelson :
Mh. Heche ni mmoja tu dunia nzima 💪 🙏 ❤️
2026-06-11 16:07:54
11
keckponxucaz693
in love with freedom :
safi sana genius
2026-06-11 03:11:24
19
hadassahjon
eng hadassah :
let enjoy 🥳🫰
2026-06-11 18:01:03
0
lenny.tz7
Lenny tz :
father umetisha sna
2026-06-11 16:40:31
0
draick.bavon
Draick Bavon :
Thinker🫵
2026-06-11 14:12:00
0
ockytz
ockytz :
big brain🥰
2026-06-11 01:10:17
14
itsjulius32
it's Julius :
Big brain Heche
2026-06-11 05:27:58
16
__nacky
Penny :
ukweli mtupu
2026-06-11 07:06:31
9
sobobibo20
Ganja :
Iki kichwa Akili Nyingi Sana Ipo Siku Tuta Enjoy Kuwa Na VIONGOZI Wanaojitambua
2026-06-11 05:00:54
28
medy4564
medson Ⓜ️ :
bonge la jibu hashima heche
2026-06-11 00:32:24
18
mr.serious5771
MR.SERIOUS5771 :
sahihi kiongozi
2026-06-11 06:07:34
8
davido36630
davido :
Mashine hii
2026-06-11 05:43:19
8
To see more videos from user @bavicha_taifa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About