Wew ndo mwangaza wetu tunakutegemea Mungu wetu๐๐
2026-08-02 09:29:42
0
NAKUPENDA :
nimeangalia kwenye kitabu hili neno kama lilivyo kwa wafilipi 4:6 nimekuja kujua ukifuatilia sana mitandao utapoteza imani yako mitandao siku izi zinadanganya hili neno halipo kwa wafilipi mungu nisamehe nitakuwa nimekosea ila mitangmdao zinadanganya shetani ndio kashika huku dah mungu tusaidie sisi๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ
2026-07-27 04:33:36
2
madam ney,,,๐๐ :
Amen๐
2026-08-02 17:31:26
0
mary cute :
Amen ๐๐
2026-08-01 17:47:02
0
Racheal Norman :
Amen ๐
2026-08-02 09:47:12
0
Victoria Mwaijengo :
mstali huu unanipaga kiburi kikubwa mimi,niwe hata sina Mia mbovu lkn najiona nna mihela mingi
2026-06-11 05:25:36
2
joycekasunga :
Ameeeen
2026-06-11 07:24:47
0
darrice samwel :
Amina napaswaa kuwa na uvumilivu mungu nifungulie njia nipate mwenzi wa maisha yangu
wafilip 4;6 msijisumbue kwa neno lolote bali katika kila neno kwa kusali na kuomba pamoja n kushukuru haja zenu na zijulikane na Mungu
2026-08-05 09:52:34
1
cici kimz :
Amina ๐๐
2026-07-30 20:11:11
1
Joy Saumu :
Amen ๐
2026-08-04 16:49:34
0
Dorce Joel :
Ameni
2026-08-04 14:59:55
0
Vijoravyajane :
๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ Yesu Yesu wew ni baba yangu Nipo hapa pita na uniguse unapowangusa wengine usinipe
2026-08-04 07:29:20
0
Jasimine :
Amen
2026-08-04 05:11:52
0
To see more videos from user @sammy._ink, please go to the Tikwm
homepage.