@robinho_tz10: RONALDINHO GAUCHO INASEMKEKANA NDIO MCHEZAJI MWENYE KIPAJI KIKUBWA KUWAHI KUTOKA DUNIANI LICHA YA KUPITWA KIMAFANIKIO NA BAADHI YA WACHEZAJI KAMA MESSI NA RONALDO LAKINI HAWAJAWAHI KUWA NA KIWANGO CHA HUYU JAMAA. JE NI KWELI?

Robinho Tz
Robinho Tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 10 June 2026 17:43:00 GMT
28043
1357
58
31

Music

Download

Comments

mudryk2562
MUDRYK :
jayjay okocha broo
2026-06-11 10:41:25
6
danker.seaga
Danker Seaga :
Sasa suala la mpira mess ni dunia nyengne bhn
2026-06-11 13:44:40
4
user2661292826109
Dante_21 :
Neymar Jr
2026-06-11 12:25:33
1
minus.kiungo
MINUS KIUNGO :
namba moja ni jayjay okocha na wapili ni ronaldinyo mwenyewe.
2026-06-11 17:08:51
2
john_avicii255
John Avicii :
Linapokuja suala la mpira unamzungumzia la pulga Lionel Messi usifananishe skills na whole football career Messi Yuko another level mzee
2026-06-11 17:59:10
1
mifukomc15
Clayson Tza :
Unamjua jay jay okocha ndo alikua master wa ivyo vitu
2026-06-11 16:12:04
1
ricnyak
RN :
You guys need to watch Jay Jay akocha
2026-06-11 16:01:35
1
abdallaabdalla5656
abdallaabdalla5451 :
kweli mwamba
2026-06-11 08:22:55
3
kingmswati30
Dr.🩺💊💉 :
amestaff wapi mkuu hapo alikuwa bado anatumikia kipaji chake. all in all jamaa alikuwa anajua
2026-06-10 23:38:30
3
emichese
producerema291🤞 :
Gaucho
2026-06-11 12:51:17
1
philosopher100100
🅣🅗🅔 🅞🅝🅔 :
Zinedine Zidane
2026-06-11 21:37:17
0
hbwa04
HB WA04🦠 :
Ipo reall
2026-06-11 01:00:31
2
tshingwathene
Tshingwathene :
wewe huyu yupo good sana tena sana ila alishawahi kusema baadhi ya mambo mengine amejifunza kwa jay jay okocha wakiwa psg anaamini kwake okocha
2026-06-11 14:33:43
1
user3675404963778
user3675404963778 :
kwa kwanza duniayani
2026-06-11 10:11:10
1
tee_jay_85
TEE⚡️JAY :
always my goat 🔥🔥🔥🔥ronaldnhoo🔥🔥🔥
2026-06-11 20:09:12
0
renatusleopard782
Renatus Leopard :
unamjua Okocha bro
2026-06-11 19:04:23
0
allymswahili
Mswahili Graphics :
Kuna Mtu Atabishaaa apa 💯
2026-06-11 15:05:50
0
_soso_3425
Soso :
kuna watu wanasema Okocha, mi nacheka tu
2026-06-11 20:58:20
1
langeni007
I'm Langeni :
my number1 GOAT 🐐 Jamaa ndiye alinifanya nikapenda soka
2026-06-11 12:36:34
0
istar_unique
Istar_unique :
tafuta jamaa linaitwa jay jay ococha
2026-06-11 05:05:53
3
thechampion9898
√The champion boi🇷🇼🇹🇿® :
baada ya Neymar da Silva Santos Júnior. ndio hao woteee wanafata
2026-06-11 08:42:20
4
all.d.young
PUBG :
Mwamba aliwai kusema alivo fika psg ilibidi aaze kumcheki okocha anafanyaje fanyaje
2026-06-11 10:45:47
2
a.oppa6
Abuu :
unamuheshi au unamuogopa
2026-06-11 10:09:04
1
To see more videos from user @robinho_tz10, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About