@punguza.uzito.na.k: watu wengi wanajiuliza kwanini Mayai na avocado yanatumika sana katika safari ya kupunguza uzito na kitambi. Mayai yana protein nyingi ambayo ukila utashiba kwa muda mrefu bila kupata njaa. avocado ina mafuta ya nyuzinyuzi(fibre) ambayo husaidia kuupatia mwili nguvu na kukusaidia katika safari ya kupungua. Nasaidia watu kupungua kitambi na uzito uliopitiliza kwa msaada na maelezo zaidi karibu WhatsApp 0675042697 #tikitok #viral #reels #trending #video