@fredy_kababu: TuMeAgIzWa UpEnDoW🥰♥️

FBI🇹🇿🥷🚩
FBI🇹🇿🥷🚩
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 10 June 2026 19:34:45 GMT
168820
8124
205
192

Music

Download

Comments

barhe.1
Barhe (garma) :
Na mm mwanangu nikimshonea hivyo tukatembelee mtaan si safi pia
2026-06-11 05:22:16
103
mosesanthonymapet
mo :
hii nchi wanaofaidi ni wachache sana 😓😓😓😓
2026-06-11 05:35:45
30
queenswai779
Anee😍@$Chaka langu❤❤ :
Ni ndoto ya mwanagu itatimia katika jina la Mwenyenzi Mungu
2026-06-12 07:59:53
35
abdallahathumani85
watetesi :
ilikuwa siku ya mtoto hivyo walimvisha mtoto mmoja gwanda na kufanya awe IGP Kwa muda wa dk kadhaa kama mfano wa kuthamini watoto
2026-06-11 12:58:20
32
joorico2
Joorico2 :
Mjukuu wa Mzee. tizama uone vizuri
2026-06-11 09:10:13
11
wahida.muhsin.hus
muhsin wahida hussein :
ngoja nikamnulie mwanangu sare za police kumbe sio makosa kuvisha watoto wetu
2026-06-11 11:37:03
2
masha.disconecter
masha disconecter. :
kesho mtoto wangu na mshonea
2026-07-17 07:32:59
1
david.jidai3
Jidai :
Mmeshindwa kazi mmeanza uigizaji jina la movie tafadhar
2026-06-11 09:02:51
5
legend_e12
Emmanuel Sekei :
tungekuwa tunafanyiwa hivi tangu utoto...kama udokta unapelekwa kwa hospital unakaa na madaktri bingwa...kama tajiri unakaa na hela za bank
2026-06-11 18:01:44
6
user418250532009
amadizoo :
tuwashonee watoto wetu tupigwe
2026-07-14 15:43:54
4
denis.abia
Denis Abia :
Safi sana tuwapende watoto wetu
2026-07-14 15:07:19
2
user2310839104840
I like a military 🪖 :
TUMEAGIZWA UPENDO
2026-07-14 18:52:35
2
user2615277849883
marry mudathily :
na me xipitwi nawangu atavaa 2
2026-06-13 14:31:22
2
user533461728080
duke :
daaah tufanye sisi sasa
2026-06-11 19:44:47
1
agness.mathias4
Bam baby :
nashona kesho nakuja hapo🥰🥰🥰
2026-06-13 07:50:37
1
user8788143241922
user8788143241922 :
watu wakivaa sale zenu mnawaazibu sasa huyo nani serikali bwana
2026-06-11 04:42:20
5
juckline.daniel
Mama G :
namshoneaa g wangu guys
2026-06-12 11:06:53
0
user6961733082037
[email protected] :
Jaman nchi yetu tupo kwenye maigizo kila secter kama rais anacheza move hawa wengine wanachze comedy asanten,😭😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-06-11 06:28:03
5
timo.stivin3
TIMO :
nzuri hio
2026-06-12 12:22:40
1
sadickramadhan321
Sadick Ramadhan :
na Mimi ninae mwanangu ana miaka5 naomba tumuandae kuwa askar
2026-06-12 12:50:21
1
ayubu.tx3
ayubu..... tx :
heshima yako afande saluting up
2026-06-13 07:58:44
1
mbuguni21
Josephine 😘💞💞🙏👨‍👩‍👧 :
ngoja nikamshonee mwanangu kama iyoo
2026-06-11 10:53:39
2
user36869660632820
05054443344 :
huyu tena ni nan
2026-06-11 06:57:37
3
sipy176
sipy :
na nyota za kutosha
2026-06-11 08:36:41
1
To see more videos from user @fredy_kababu, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About