wanaotengeneza hizi Ai song si wake wanakubali siyo sauti zao ona sasa unapata aibu ndogo ndogo zinazoepukika .juzi nimeona msouth mmoja katia aibu jukwaani hivi hivi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-06-23 22:12:00
2
boesoldier3 :
Ila Dj mchokozi aseeh sasa alizima Nini sauti😂😂😂🙌🙌🙌
2026-06-24 06:45:22
3
Joshua seteven :
afu dj kwa nini ulifanya ivo
2026-06-24 09:28:44
0
YETU AFRICA music distribution :
nashindwa kuelewa
2026-06-24 09:56:00
0
Haroub Lato :
oya dj wamepeana code ya kumfichia aibu ila wap tumemshtukia hamna kitu hapa 😃😄😆 ila ngoma kali sana sielew kwann hatak kukubal kama ni Ai
2026-06-24 09:31:09
0
Frankfire chatown :
2026-06-24 07:14:27
0
ally mswati :
nayo kaka 😂😂😂
2026-06-24 09:05:33
1
captain🇹🇿 :
Mamae ila AI😂😂😂
2026-06-23 13:44:48
2
ladha Q :
ngayokakaa😁😁😁
2026-06-24 07:36:58
0
Nilla Tz :
ahahhaahaaaa😂😂😂
2026-06-24 06:51:07
0
KAKA MSUSI NJOMBE 👽kaka beuty :
Ngayo kaka abu naona mimi😂😂😂
2026-06-24 07:59:14
1
@Paul rashford bahati ❤️ :
Ai lakini ni noma 😁😁 wimbo unaiwa
2026-06-20 20:01:31
2
dee_jojo :
Duuh aibu naona mie
2026-06-24 03:58:21
0
Kendrick Linjeboy :
huyu amna kitu ile ngoma ni Ai hahahahaha😅
2026-06-23 22:43:03
0
Lollful :
si kidogo nishangae mbona ngoma ina sound vizuri hivi kumbe Ai
2026-06-24 10:07:12
1
Anneyeric :
Ai
2026-06-24 05:18:51
0
business_partner255 :
yeye mwenyewe Anataka kucheka🤣
2026-06-24 02:35:15
0
Eddy049 :
2026-06-24 05:33:13
0
Dozzy Fire Official 🇹🇿 :
haibu naona mimi
2026-06-16 10:54:19
0
To see more videos from user @cloudsmedia, please go to the Tikwm
homepage.