@zayn_chande: Kati ya moja ya ndoto yangu ilikua kukutaka na shekh ambae nikisikiliza mawaidha yake basi hua nahisi faraja ya moyo na kujaa kwa yakini na hadi kufikia hatua ya kudondosha chozi. Nimefurahi sana kukutana na shekh Mohammed omary mwanafunzi wa othuman maalim na wala hakujali mwonekano wangu kwani wewe ni kipenzi cha Allah 🙏🏼 #kenyantiktok🇰🇪 #zanzibar #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenya #ugandatiktok

zayn_paradise_tours
zayn_paradise_tours
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 10 June 2026 19:54:19 GMT
78382
9032
138
339

Music

Download

Comments

shinunaaaaa_
𝒮𝒽𝒾𝓃𝓊𝓃𝒶ᥫ᭡. :
Anaitwa Nani huyu nampenda sana
2026-06-11 05:10:13
42
tummy.ally
Tummy ally🌹🥀🥀 :
Nampenda huyu shehe
2026-06-11 04:47:01
14
user1295368783561
user1295368783561 :
Mashallah shekh wetu☺️☺️
2026-06-11 12:16:41
1
user68191024551831
mubaaa :
anaitwa shekhe muhammad omar atmani
2026-06-11 06:01:22
12
allyhemedjunior112
shipping expert :
sheikh muhhamad Omar othman
2026-06-11 08:00:35
7
josephminja5
jaytz :
mashallah hakika Mungu mwema mimi natamani saana nikutane na maalim wake shekh. othman maalim hakika nikikutana nae siku iyoyo nitabadili dini kuwa mja wa Allah mana mafundisho yake yamenijenga saaaana
2026-06-11 09:48:26
1
familylife066
Best Ahmed Becco :
🥰🥰🥰 mimi napenda mawaiza yake Akiwa analia Istanti bihayati starehe katika maisha yako hatakama moyo wako unavuja damu ukiona umechomwa na kijiti wenzio wamechomwa na boriti🥰🥰😁😁
2026-06-11 14:05:51
6
latrash_genious
latrash_genious :
Huyu shehe dada ake alikuwa mwalimu wangu advance nimekumbuka bi khadija omary mungu amuweke inshallah
2026-06-11 21:22:34
2
husseinmgogo52
Hussein pixel production (HPP) :
sheikh Muhammad omary
2026-06-11 07:43:07
5
theyenvy_cauthal21
Cauthal ♡ :
Sheikh wangu pendwa 😩❤️🤌
2026-06-11 17:02:43
2
kasyeem
Kessy95 :
Mashaallah
2026-06-11 06:25:30
3
mp.boss.jey
Mp boss jey :
mashaallah
2026-06-11 06:48:18
2
nassir.feiswal
ناصر فيصل :
Masha Allah
2026-06-11 07:48:26
2
suad_mohamed5
Suad Mohamed :
Sheikh Muhammed kama munayo namba yake naiomba
2026-06-11 08:23:47
0
mkasi.said.seif
mkasi said seif :
nampenda huyu shekhe jaman
2026-06-11 12:34:37
1
mkali.fey
mkali fey :
mashallah
2026-06-11 07:06:30
2
mrzenjboy1
mrzenjboy1 :
nimeipenda hiyo
2026-06-11 07:00:35
2
mimmah781
Mimmha bee💖💖💖🩷🩷 :
mshaallah 🥰
2026-06-11 04:15:54
3
manilatran
manilatran837 :
mungu niepushe kuoa mpenzi wa mtuh
2026-06-11 07:05:48
2
user86197756380
Mohammedy DSM :
sheikh wa faid kbs
2026-06-11 05:03:47
2
user9965596784088
user9965596784088 :
oya mwamba so poa iyo outfit ni noma bro🫡
2026-06-11 12:08:15
1
kipanyakhamis425
Kipanya Khamis :
muhammad omar
2026-06-11 05:44:12
1
abrahmanmohd780
abrahmanmohd780 :
mashallah mashallah mashallah vzur san mwenetu
2026-06-11 05:30:49
2
ismond_fashkiller
ismond_fashkiller :
huyuu shekhe tunamkubali wengi sanaa
2026-06-12 00:21:40
0
To see more videos from user @zayn_chande, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About