Mimi ni abilia wa bolt ila sina ushamba kama huo, madereva abilia wa namna hiyo achanane tembea u vipi huo ni utoto avpi😁
2026-06-11 08:23:12
16
mchambuzi. com :
bora uyo kakujibu vizuri mimi nilimuuliza uko wapi akaniambia fuata ramani nikafuata lamani mpaka mwisho nika wasili na mwambia nimeshafika mwisho wa lamani akaniuliza uko wapi nikamwambia niangalie kwenye ramani
2026-07-29 07:41:24
7
Dittoh🦋 :
Unakuja Au Vip 😂
2026-08-02 10:25:36
0
RUUH🧕💜 :
si jambo la kumueleekeza tu
2026-06-12 04:49:44
6
GRACIA🌻 :
Au vipi nyingi zinanikwaza
2026-06-11 07:10:58
8
hadijahaji411 :
😁😁😁.kwa.hiyo.mteja.kwako.fala.au.vipi
2026-06-11 11:06:19
5
Young Mom🌸☘️💦💫 :
au vipi😂
2026-06-28 22:05:44
1
African giant :
umetsha mwenetu au vip
2026-07-01 04:40:21
1
Bonycham :
uko sawa kabisa
2026-06-11 04:35:54
5
Rafael :
au vipi zinatosha jaman eeh!
2026-06-19 08:13:52
2
mrombo :
ishanikuta iyo tena ilikuwa 12 elf nikachana
2026-06-11 05:51:36
9
Makopo Brand597 :
sahihi bro
2026-07-14 05:55:23
1
Sarah :
au vipi😂😂
2026-06-11 13:51:53
2
god son🙏🙏☑️ :
au vip
2026-06-16 13:47:15
1
Sh'bby tompa :
au vipi
2026-06-23 12:09:43
2
eliyaa og :
siwez kuwa bolt Bora niacheee kazii mamamaeeee
2026-08-06 15:11:35
1
hasheem88 :
au vep
2026-06-11 10:43:02
2
Nino🧚❤️ :
Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la maana ndugu zangu
2026-06-12 05:38:31
1
restutacharles711 :
au vpi
2026-06-11 13:40:08
4
jimmy patrick :
wanazngua sana au vipi
2026-06-11 16:20:22
4
To see more videos from user @bebo.rhymes, please go to the Tikwm
homepage.