@lillianmwasha: #tiktoktz🇹🇿🇹🇿🇹🇿 #tiktokkenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪 #viraltiktok #viralvideo #congolaise🇨🇩

Lillian MWASHA.
Lillian MWASHA.
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 11 June 2026 06:19:56 GMT
231348
23297
651
926

Music

Download

Comments

latifarashid136
Latifa Rashid :
tuweni makini na marafiki
2026-06-11 14:33:42
248
careenmarcoaran
Careen Marco 🦋 :
mama mkwe wangu 🤦
2026-06-11 16:56:57
85
debora.morice
Debora Morice :
Amina
2026-07-09 20:58:27
1
mary.rungwe
Mary Rungwe :
Sikukosea kumwita binti yangu liliani Mnajuwa sana🥰🥰
2026-06-11 09:23:13
108
jasmine.awili
Jasmine Awili :
ndo maana mm marafiki nawaongopeaga tu mambo yangu siwaambiagi ukweli kabisaa
2026-07-05 18:00:38
9
nabiijoelyonetz
JPM :
ANAEAMIN NDUGU NI WABAYA GONGA LIKE
2026-06-12 19:00:35
24
sumagirl1
sumagirl😇🥰 :
Mmi nishawahi pitia hiyo situation tena nikiwa na mimba roho yangu ilniuma sana, Nikamwachi mungu atende.
2026-07-21 12:40:45
2
wintoli_divine
Wintoli_Divine :
Ubarikiwe mwanamke wa Mungu Ufunuo Mkubwa sn huu daaah 🤝
2026-06-11 09:10:07
23
oficial_lituh
Lituh_precious :
yaaan hutu mama ananipag elimu Asante sana
2026-06-11 13:18:37
63
hopeoutfits2
miss.hope💍🇹🇿 :
tumezungukwa na watu wa hivi sana guyz🥹😫😫😫🙌
2026-06-11 16:55:33
30
happyness.divan
happyness divan :
naptia hayo kazn kwng watu wawili wameungana dhidi yng lkn namshukur MUNGU wanavyozidi kuongea kibali kwangu kinaongezeka 🙏
2026-06-26 10:07:19
8
.dml80
.DML. :
penda sana video zako yaani zina funzaa sana
2026-07-31 14:13:52
1
glorick93
Glorick :
Moja kwa Moja kwenye St.....
2026-06-11 08:17:24
10
regina76762
TERRI FIRE :
kipenzi Mungu azd kukutunza
2026-06-12 11:04:42
9
fruitful.john3
Fruitful John :
nakupenda ila nataka vidio zako ziwe zakaribu sio za mbaki ili wenye shida kama yako wajiamini aslimia mia 100
2026-06-12 20:26:04
9
zainaseif111
Zaina Seif111 :
kupitia wewe leo nimepona thanks
2026-06-11 17:53:30
5
yasinta1864
yasinta :
Amen
2026-06-13 21:26:54
1
adya_mtunchya
MTURUKI from singapal :
my love ni kweli mimi nakup3nda xana unanibariki xana my love
2026-06-12 12:01:12
0
fatmaabdallah6637
fetty :
mama mimi uyo nazungukwa sana
2026-06-12 13:07:18
5
jmj_pearlybiz
MJ Pearly Collection 💎💫 :
Aliyekuwa Rafiki yangu wa Damu nilipokuja kugundua niliteseka sana kisaikolojia ila nikajifunza kitu kikubwa san sana san aisee.
2026-06-13 07:11:48
6
user3272938859394
FADlA SHAME :
Ameen Ya ameen 🤲🏻
2026-06-13 07:48:26
0
ruthgad531
Ruth Gad :
uko sawa..
2026-06-13 10:03:57
3
dapric
barakamichael73 :
mm sitaki rafiki😊
2026-06-14 15:50:41
3
user7717582533021
fatime collection 🤝 :
bora mnyama kuliko mwanadamu
2026-07-20 14:17:11
2
elizabeth56450
lt's Elizabeth :
Nikweli
2026-06-13 09:26:44
0
To see more videos from user @lillianmwasha, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About