upo sahihi kaka lazima utambe kwanza akuna bondia kama ww
2026-06-11 17:41:58
2
Saidi Kabogo :
mhhhhhh
2026-06-11 19:23:20
0
Han's Boe :
sema jamaa anachukiwa sana
2026-06-11 18:51:23
0
muba mziguq :
watuu watanga tunapenda sifaa sanaaa yani
2026-06-11 20:58:16
0
Muhammad :
hata uchi😄😄
2026-06-11 17:53:34
0
hamadishaha111 :
A few moment letter
2026-06-11 18:23:40
0
ke 🇹🇿voo🔰✅️🔹️🔹️[DOGO) :
Kwa kipigo ulichokutana nacho bro,,,, we bado sana kwa mabondia wa uzito wako,,. Technic huna.
2026-06-11 07:46:50
10
Leem :
Kila binaadam lazima awe na malengo, yatimie yasitimie ila lazima aweke malengo. Na kwa namna moja au nyengine ukifeli kufkia malengo hayo sio kufeli moja kwa moja. Keep it up champ, get up stand again and do what you do at best!!
2026-06-11 12:17:10
5
2.8Miles :
2026-06-11 17:05:00
2
Bingo restaurant & bites :
Nd maana umepigwa
2026-06-11 09:24:49
3
shaka tz :
wangeku uwa jana shukuru refa
2026-06-11 10:38:10
5
Carrasco Nation :
Tatizo kamdomoo😂😂😂
2026-06-11 16:41:02
2
Canceler :
Bora kabamizwa 😂
2026-06-11 15:36:36
2
Denis Derick :
Kamdomo😂😂😂
2026-06-11 17:16:57
1
🎶 :
Boxing imepanda thamani sana sababu ya huyu jamaa big up Champ
2026-06-11 16:28:57
1
Tin Boe Mlumba :
inshaallh kaka
2026-06-11 12:41:51
1
REYYAN ACTRESS :
mimi sioni kma huyu kaka ana maneno mabaya ila binadamuu tu hawakosii chukiiii zisizo za msingii🙌🙌
2026-06-11 18:44:44
0
To see more videos from user @officialsaidmbegu, please go to the Tikwm
homepage.