@islamic_rihla: Waislamu Wanapokutana na kusalimiana kwa ikhlasi, hupata rehema na kusamehewa makosa madogo kabla ya kuachana. Hii inaonesha uzito wa salamu na kuimarisha mahusiano ya Kiislamu. 🎙️ Mzungumzaji SHEIKH DKT ISLAM MUHAMMAD 🤝 Zidisha salamu na upendo kwa waislamu wenzako. 💬 Andika “Assalamu Alaikum wa Rahmatullah” 🔁 Share ujumbe huu kwa wengine. 🤍 🟣 Follow | Share | Save Islamic Rihla — Safari ya Imani #islamic_rihla #islamicvideo #uislamu #islamic #islamic_rihla 🟠 FOLLOW US