tuna moyo wa kutoa sadaka. kwa wahitaji,ujenzi wa kanisa,shukurani,kutunza mapadre,kujenga vituo vya watoto yatima, Mungu anatuongezea zaidi🙏🙏🙏
2026-06-11 10:05:12
167
Real_melah💦🐾 :
Catholic forever🥰
2026-06-11 14:10:20
70
Marvis💕 :
nimezaliwa kwenye moja
2026-06-11 17:20:14
47
jbosslady :
St. Peter claver mbezi luis 🥰
2026-06-11 14:53:52
26
irenetwalib7 :
sisi ndio serikali yenyewe
2026-06-16 05:42:12
2
🇻🇦🇹🇿 :
Bwana ndiye Mchungaji wetu hatutapungukiwa na kitu🙏
2026-06-13 18:23:21
5
Milliken jr :
Tunajituoa kwa moyo mungu, mungu nae Ana mimina baraka zake kwetu😁..,,, na kanisani unakaribiswa😍
2026-06-11 16:33:52
17
momo :
Ni Mungu tu🙏🔥🙌
2026-06-12 10:50:26
1
user45625719810821 :
Tuna moyo wa kutoka ndo maan tunabarikiwa njooo dada ubarikiwe nasi
2026-06-11 12:07:45
10
Rozitha Kapufi :
ndiyo. nawala huwezi Kuta tunaomba omba kwenye Dara Dara Kuusu michangi ya ujenzi. tunaomba kwa Imani na tunatowa kwa moyo mnyoofu ndio maana mungu ana tuzidishia. I love you so much catholic ❤️❤️❤️❤️❤️
2026-06-12 06:02:39
10
≈Riçkÿ ǰr :
Taifa kubwa🥰🥰🥰
2026-06-12 05:36:17
3
Notbluga Mbeya :
kwanza sisi ni watu smart sn karibu sn
2026-06-11 12:41:22
9
XYZ :
karibu....sie hatuna majungu juu ya madhehebu mengine,tupo busy na kazi.
2026-06-11 14:49:02
7
Veronica Paulo :
karibu kuwa mkatoliki raha sana
2026-06-11 15:07:48
6
Joy w Assey. 🇹🇿🇪🇸 :
tuna roho mtakatifu
2026-06-11 14:32:38
6
Wolfgang :
halafu hatuna majunguu,,watu wote tunaishi nao kwa amani🥰
2026-06-12 05:42:46
6
Mathew Ngallo :
Siri ni kuwa tunatoa sana sadaka na zaka na nguvu na muda hivyo Mwenyezi Mungu hurudisha zaidi 🙏
2026-06-12 06:17:02
7
seraa boy :
daaah dada umeongea vizuri umetusifia hadi nmeckia raha ubarikiwe sanaa🥰
2026-06-11 22:19:44
7
Totoo :
Karibu mashaidi wa uganda magomen
2026-06-13 18:13:55
1
@Annie Barnabas 2002 :
Karibu Roman🥰🥰
2026-06-12 08:22:27
2
Nathaniel :
karibu sana parokia ya mt tomas chanika
2026-06-11 18:19:40
4
JUSTINA :
moyo tu wa kutoa🥰
2026-06-11 18:03:46
1
suzan :
karibu sana
2026-06-12 09:28:08
2
💐lilayan28💐 :
baraka tu hizo
2026-06-12 05:42:57
2
hjeuge :
romani rahaaa mnoooooo
2026-06-14 07:32:37
1
To see more videos from user @charminglady448, please go to the Tikwm
homepage.