@fransiscomagnetics: 1. Usiwahi kupoteza akili yako ya udadisi (curiosity). Hakuna trader ambaye amefanikiwa sana kiasi cha kuacha kuwa mwanafunzi. Kuna mengi sana ya kujifunza na mengi sana ya kugundua sokoni. Haiwezekani kujua kila kitu. Ndiyo maana utaendelea kuwa mwanafunzi maisha yako yote kama trader. 2. Kuwa na taarifa za hivi karibuni. Jitahidi kwenda sambamba na mabadiliko mapya ya soko. Kila kipindi kina tabia yake kwenye trading. Unaweza kuona hilo kwa jinsi vipindi tofauti vilivyokuja na tabia zake tofauti tofauti, kama kipindi cha PANDEMIC (COVID19), BREXIT, Ukraine Invasion, US-China War na US & Israel against Iran war. kuwa na hamu ya kujua namna mabadiliko ya tabia yanayotokea sokoni kulingana na jambo linaloendelea. 3. Uliza maswali kila wakati. Nikiwa na-mentor watu, huwa napenda kuona beginners wakiniuliza maswali. Mara nyingi begginers huwa wana taarifa za hivi karibuni zaidi kuhusu mbinu mpya, teknolojia mpya, au mitazamo mipya ya soko. Kinachokosekana ni uzoefu wa kuzitumia kwa ufanisi. Ndiyo maana unapaswa ku-engage na kujifunza kwa kila mtu bila kujali kiwango chako cha uzoefu. Kuwa na hamu ya kujifunza na kujua suluhisho la wengine. 4. Jitahidi kuelewa kwa undani. Ukifanya marekebisho kwenye trading plan yako au baada ya jaribio la 20 jambo likafanikiwa ghafla, usiishie hapo. Kuwa mdadisi na chunguza sababu halisi iliyofanya jambo hilo lifanye kazi. Hivyo ndivyo unavyopata maarifa na uzoefu. 5. Kuwa mdadisi kwa njia nyingi tofauti. Kuwa na hamu ya kujua jinsi strategy mbalimbali za trading zinavyofanya kazi. Hata kama huzitumii wewe, zinaweza kuadd kitu kwenye strategy yako. Na pia kuwa na hamu ya kujua zaidi kuhusu safari yako binafsi kama trader. Mara tu unapodhani umejua kila kitu kuhusu soko, ndipo soko linapoanza kukufundisha kwa gharama kubwa. Trader bora hubaki mwanafunzi milele. Happy Trading, everyone! 📈🔥

M G
M G
Open In TikTok:
Region: ZA
Thursday 11 June 2026 08:56:33 GMT
12714
1163
52
6

Music

Download

Comments

__codex312
codex🤠 :
kaka auna hata group la mentorship
2026-06-12 18:31:08
2
dadyyfx
Gbpjpy slayer (Gj) :
magnetics
2026-06-11 14:44:17
3
navigatorhunter
navigator :
Genius 🔥🔥
2026-06-12 21:06:03
3
bzzocleft
Bzzocleft :
Big Up san kaka Out Of Business Out Of Plan.
2026-06-12 16:53:44
2
peterevaristo582
PETER TECHNOLOGY🌐🛒 :
kaka unani inspire sana thanks so much my brother 💪💪
2026-06-12 15:04:43
1
leohfx
Leohfx :
Aminaa
2026-06-11 13:05:23
2
manigga_ink
Joe_ink :
Mentor
2026-06-11 22:15:10
2
thobiasmillinga01
Prince Don Cash 🤴💰 :
TAJEER 💯
2026-06-11 13:41:19
2
abrahammshana
Abraham Mshana :
Facts
2026-06-20 09:18:27
1
goalpoacher15
malick :
brother
2026-06-13 21:29:24
1
drbuddah58
Dr.Buddah Spirituality is life :
hakika Mungu kwanza
2026-06-11 12:26:52
2
samwelsamgo6
SamGO :
Sanaa kakaaa
2026-06-12 07:21:32
2
ipeana8
Ipeana :
uhakika
2026-06-11 09:48:05
1
panga126
[email protected] :
hongera kaka
2026-06-11 10:22:09
1
lammoseh
lammoseh :
kizazi kabisa brother ✌️✌️
2026-06-11 09:05:13
1
blue_tik_apple_store
blue_tik_apple_store :
Liquidity Engineer Himself🦈
2026-06-12 14:52:45
1
jacksonfesto8
Jackfx :
nakubali
2026-06-12 23:52:55
2
bzzocleft
Bzzocleft :
Big Up san bro
2026-06-12 16:52:27
0
offical.ancethtz
ancethanceth :
fact bro
2026-07-12 10:07:57
1
marrymicke10
Ride :
and consistency
2026-07-15 17:23:48
1
mzee.wa.busara006
T 653 FRC :
Tajiri hii naishi nayo🔥
2026-06-11 18:23:01
3
tradermaryflorence
Tradermaryflorence :
trade bora hubaki mwanafunzi milele
2026-06-11 09:14:21
2
alphatatedgoat
Alphatate Dgoat :
sharout bro🔥🔥🔥
2026-06-11 12:41:11
1
moti_m1
Moti_🧢 :
🫡🫡🫡🫡🫡
2026-06-11 08:59:50
2
nancytheobard
Nancy Theobard :
👍👍
2026-06-14 02:37:04
1
To see more videos from user @fransiscomagnetics, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About