@shoshhack1: Usipuuze Hii😳 Kikohozi inaweza kuwa ishara ya kifua imejaa au mwili unajaribu kujisafisha. Jaribu njia rahisi za nyumbani kusaidia kupunguza hali hii mapema kabla haijakuwa mbaya. Afya yako ni muhimu#healthtips #fypppppppppppppp #viralvideos #naturaltips #kikohozi