Nilishawahi kaa miez tisa bila kutenda na mume nipo nae ndani… nilimuomba mungu sana mawazo mabaya yalikua yananipitia… ila ibada ilikua inanikataza nikiswali nalia sana hatimae mume nipo nae sasa tunapenda kama vile ni mpya .. sijui kilimkuta nn ila ni baba wa wanangu nimempokea nipo nae alhamdulillah watoto wanne sasa na anatulea kwa huruma