@chunamakeup: Nyieee😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭Hakuna jambo kubwa kwa Lllah🙌🏽🙏🏼 #wemasepetu #chunamakeup

ChunaMakeup
ChunaMakeup
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 11 June 2026 10:02:53 GMT
373766
18854
608
2295

Music

Download

Comments

daya.ree
daya ree :
kila mwanamke ataitwa mama kwa wakati wake sahihi🙏🙏😍
2026-06-11 10:54:25
1317
kabintspeciol
madam happy :
ila alievujisha hii video kamkwaza sana mhusika
2026-06-11 14:05:13
473
hellenkendi457
hellenkendi457 :
am so happy for her 😭🙏🙏
2026-06-11 13:16:25
6
nadhifanadhiru
Nadhifa🤍🌸 :
kumbe hata me nitazaa🥺 mda tu ndo bado, ee mwenyezi mungu sitoacha kuomba na kusubiri amiin🥹🙏
2026-06-11 17:28:02
144
lesalshop
LESAL SHOP :
Afu kunamijitu haiamini Kama kuna Mungu 🥹
2026-06-11 13:55:32
352
deliciousmilllen1
Millen Delicious🌸 :
Mungu hamsaidie apakate jmn
2026-06-11 10:39:08
96
dee32419
Dee :
uwiii ata mimi nita zaa jamani daaa jamani.😭😭😭😭
2026-06-11 15:40:32
134
mbura.mgaya
BOEM store. :
wakati wa Mungu 🥰
2026-06-11 10:39:24
69
user5367788041456
Grace :
Jamani Huyu Mungu nyie😪😪😪apewe maua yake❤️❤️❤️
2026-06-11 13:52:27
33
user3780401983442
Janny kay :
God answers our prayers🙏
2026-06-11 17:21:54
5
christinaphilibert67
Madame 🤗❤️ :
Kuna mtu amekata tamaa ya kupata mtoto,hii video ni kwaajili yake🙏
2026-06-11 18:51:54
5
princesnaomi58
Naomi 😘 :
wakati wa mungu ni wakati sahihii
2026-06-11 18:31:42
6
yutonej
sweet j💚 :
MUNGU YUPO
2026-06-11 14:17:21
7
its_nasrah7
its_nasrah7 :
Yule ni aunt ezekiel
2026-06-11 14:29:40
0
eniauwimbabazi
Enny hacolle :
Amina🙏
2026-06-11 19:44:12
0
dashanto4
MamaD❤️ :
God is the best🥰❤️🥺
2026-06-11 23:22:15
0
didi6_11
AYUGA D♥️° :
Auw😩😭😭😭😭ty God
2026-06-11 11:56:39
2
neynaya22
Neynaya :
Nimefurahi kwa ajili yake Allah amlinde inshaallah
2026-06-11 18:30:40
7
deeonlinestore
deeonlinestore :
M/Mungu amfanyie wepesi jaman🥹❤️
2026-06-11 10:19:09
15
user52529761129255
abby :
mpk nmeliaaa machoz ya furaha mwenyez mungu akufanyie wepes akulindie tumboni mpka duniani
2026-06-11 11:40:38
62
mwiitu.wa.mutava0
Jmm :
I remember kuna siku nimewahi Lia juu ya wena na Mimi ni mkenya😭😭
2026-06-11 12:24:21
44
chimamy518
chi mamy🫶 :
kila mwanamke ataitwa mama tu haijalishi utakaa miaka mingapi wakati wako ukifka tu mungu anatenda🙏
2026-06-11 14:06:13
6
babyshuu79
babyshuu :
mashaallah wema wetu mungu kakuona dada angu
2026-06-11 10:28:01
11
official_renny01
R.E.N.N.Y🤍💙🩷 :
mpk nimesisimka uwiii mungu yupo nyie...
2026-06-11 11:35:39
8
To see more videos from user @chunamakeup, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About