@denri_africatz: Hali ni mbaya😅😂😂… Mwezi huu wa juni, tunakuletea Spesho Selection za Denri kwa wale wanaotaka ubora, mpangilio na urahisi kwenye matumizi yao ya kila siku. 1️⃣ Mabegi ya leather halisi, imara na ya kudumu 👜 2️⃣ Unaokoa hadi Tsh 10,000 kwa single bag na hadi Tsh 50,000 kwa combo 💰 3️⃣ Space ya kutosha na mpangilio unaokusaidia kubeba kila kitu bila usumbufu Hizi si ofa tu. Tumekuletea kilicho bora. Chagua begi lako leo. 📍 Mreiny Complex, Sinza Kijiweni 🚚 Tunafanya delivery: +255 761 970 255 #DenriTz #combooffer #fyp #foryoupage #fyppppppppppppppppppppppp
Denri_AfricaTz
Region: TZ
Thursday 11 June 2026 10:29:00 GMT
Music
Download
Comments
Mweta Jr :
Wanao sema mwamba kawakilisha vyema gonga like apa
2026-06-11 16:11:02
1266
it.c-him :
if you don't get it forgot about it 🤣
2026-08-11 01:14:23
0
maiko msigwa :
kwangu mke ndo Kila kitu kuliko mama
2026-06-11 13:04:06
905
sadick the great :
kam unaamin mama nimama gonga like hapa 😂😂😂😂🥰
2026-06-11 14:50:05
3402
Simon_Jr :
😂🤣😂I will never
2026-08-10 20:37:28
0
ch@ m!deko :
saf brooo🥰🥰
2026-08-10 16:11:53
0
bony Michael king :
macho yangu koma
2026-08-10 09:18:16
0
Dr IGNEOUS :
really men
2026-08-10 16:11:26
0
Kevini samsoni :
100%100
2026-08-10 20:02:38
0
annahpetel :
kama unasena mama nibora kuliko mpenzi like apa tujuane😂
2026-08-08 19:36:27
34
lenny💋 :
Tatizoo finishingiiiii 🤣🤦♀️
2026-06-11 14:04:59
602
faah🤍 :
sem wadada hatupendi kuambiwa ukwel😅😅angedanganywa hapo angechekelea
2026-08-09 18:55:23
11
bk one 255 :
infinix😂
2026-06-11 16:25:09
86
princess teddy :
Sasa ulitaka ujifananishe na mama ake mwanetu
2026-06-11 11:45:31
581
_ICON_👑 :
big up sana bro🙏🙏🙏🙏
2026-06-30 01:09:31
2
45# linda brand🌏 :
mwacha anune kwanza kabaya uso kama kashata
2026-06-12 12:52:40
34
Madame✨ :
10/10 Anza
2026-06-12 14:08:05
6
dana :
bro yupo saw kbsa
2026-07-14 16:19:09
6
Rakesh Bhai :
nalipa 10/10
2026-06-11 14:26:41
17
𝕯𝕬𝕹𝕴𝕰𝕷 :
𝕓𝕣𝕠 𝕪𝕦𝕜𝕠 𝕤𝕒𝕙𝕚𝕙𝕚 2 𝕜𝕒𝕞𝕒 𝕦𝕟𝕒 𝕞𝕜𝕦𝕓𝕒𝕝𝕚 𝕘𝕠𝕟𝕘𝕒 𝕝𝕚𝕜𝕖
2026-06-30 06:48:15
14
Bablee :
Nani kaamini kama hii ni Iphone 😂😂😂🙌
2026-06-11 15:01:20
294
Hk. :
Yani kwangu mke ni muhimu kuliko mama coz mama tayari ana mpenzi wake huko walipendana zamani
2026-06-11 16:24:09
112
careenemmanuel14 :
Huu msiba tunao jaman😂😂
2026-06-11 14:15:02
43
King 14 👑 :
anatumia Samsung alafu anasema Infinix wanawake bhn
2026-06-11 14:05:16
131
To see more videos from user @denri_africatz, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.