@dalali_sam_kigamboni: Ni chumba Kimoja master na Jiko lake zuri kubwaa Kodi ni Tshs 230,000 kwa mwezi Malipo ni kuanzia na miezi sita 6 Location:Kigamboni kisiwani Nyumba ni mpyaa ya kisasa, mazingira mazuri Salama na tulivu Unajitegemea umeme&maji Call/ WhatsApp 0628983998 #creatorsearchinsights