Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
API
Home
How To Use
Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
Home
Detail
@moodytiger.us: In love with the legging from moodytiger #moodytiger #playonthemove #summervibe #moodytigerkids #kidclothes
moodytiger
Open In TikTok:
Region: US
Friday 12 June 2026 01:00:00 GMT
9056
165
5
4
Music
Download
No Watermark .mp4 (
2.03MB
)
No Watermark(HD) .mp4 (
1.96MB
)
Watermark .mp4 (
1.86MB
)
Music .mp3
Comments
wolfJorge Norberto :
ella me encanta!!!!😍🌷😍🌷😍🌷😍🌷🔥🌹🔥🌹🔥🌹🔥🔥🔥🔥🔥🇦🇷🇦🇷🇦🇷👍
2026-06-14 12:14:59
1
israelsonora :
you are preaty baby☺️
2026-06-16 08:09:05
0
Ανδρέας..☘️ :
🥵🥵🥵
2026-06-13 22:19:06
1
♿MARCO♿OFICIAL♿ :
🥰
2026-06-15 17:07:21
0
Ludo :
👍👍🥰🥰😀😀
2026-06-21 10:53:22
0
To see more videos from user @moodytiger.us, please go to the Tikwm homepage.
Other Videos
Namna ya kufanya muraja’a ili usisahau Qur’an 📖🔁 Watu wengi wanaweza kuhifadhi. Lakini shida yao kubwa ni kubaki nayo. Anaweza kuhifadhi ukurasa leo, lakini baada ya siku chache ameshasahau karibu yote. Kwa nini? Kwa sababu hakuna muraja’a. Muraja’a ndio kurudia yale uliyohifadhi ili yabaki imara kichwani na moyoni. Bila muraja’a: • Aya zitachanganyika • Utasahau haraka • Confidence itapotea Hizi ni mbinu za kufanya muraja’a vizuri: HATUA YA 1: Rudia kila siku 📅 Usiseme: “Nitarudia nikipata muda.” Ukifanya hivyo utasahau haraka sana. Hata dakika chache za muraja’a kila siku zina nguvu kuliko kusoma sana mara moja kisha kuacha. Consistency ndio siri. HATUA YA 2: Anza na yale ya zamani 🧠 Makosa ya wengi: Anapenda mpya kuliko kurudia ya zamani. Kumbe ya zamani ndio inahitaji nguvu zaidi. Kabla ya kuhifadhi mpya: • Rudia ulihifadhi jana • Rudia ya wiki hii • Rudia ya zamani kabisa Hii hufanya Qur’an ibaki imara. HATUA YA 3: Soma bila kuangalia kwanza 👀 Jaribu kujipima. Usifungue msahafu moja kwa moja. Kwanza: • Jaribu kusoma mwenyewe • Ukikwama ndipo angalia Hapo utajua sehemu zako dhaifu. HATUA YA 4: Rudia sehemu zinazokuchanganya 🔍 Kuna aya zinafanana sana ndani ya Qur’an. Ukiona sehemu unachanganya: • Rudia zaidi • Soma polepole • Linganisha tofauti zake Usipuuze makosa madogo. Ndiyo yanakuja kuwa makubwa mbele. HATUA YA 5: Soma kwa sauti 🗣️ Muraja’a ya kimya muda wote haijengi uimara mkubwa. Ukisoma kwa sauti: • Makosa yanaonekana • Ulimi unaimarika • Confidence inaongezeka Masikio yako yanasaidia ubongo kukumbuka. HATUA YA 6: Sikiliza Qur’an mara kwa mara 🎧 Ukisikia aya ulizohifadhi kila siku: • Zitakaa kichwani zaidi • Zitakuwa rahisi kukumbuka • Makosa yatapungua Masikio yana nafasi kubwa sana kwenye hifdh. HATUA YA 7: Gawa muraja’a kwa mfumo 📚 Usitake kurudia kila kitu siku moja. Mfano: • Leo sura fulani • Kesho nyingine • Taratibu mpaka umalize mzunguko Mfumo unarahisisha consistency. HATUA YA 8: Usikate tamaa ukisahau ⚠️ Watu wengi wakisahau wanaona kama wamefeli. Kumbe kusahau ni sehemu ya safari. Qur’an inahitaji kurudiwa maisha yote. Hata mahafidh wakubwa wana muraja’a kila siku. HATUA YA 9: Kaa mbali na distractions 📵 Muraja’a inahitaji concentration. Simu ikiwa mkononi kila dakika: • Focus inapotea • Aya hazikai vizuri • Ubongo unachoka haraka Tenga muda wa Qur’an bila distractions. HATUA YA 10: Soma kwa ikhlasi 🤍 Usifanye Qur’an kwa mashindano ya kuonekana mbele ya watu. Kuna watu wanataka watu wajue: “Nimehifadhi juzuu ngapi.” Lakini muraja’a yao ni dhaifu sana. Lengo sio kuonekana mkubwa mbele ya watu. Lengo ni Qur’an ibaki hai ndani ya moyo wako. Na ukweli ni huu: Kuhifadhi Qur’an ni rahisi kuliko kuilinda bila muraja’a. Ndiyo maana mwenye kurudia kila siku ndiye anayebaki imara zaidi. 🤍#kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniatiktok🇹🇿🇹🇿❣️🇰🇪🇰🇪♥️ #ugandatiktok🇺🇬 #ViralVideo #ViralVideo
Pure cinema. #FIFAWorldCup #Messi
@Lukinha @Rafael Cabral #mjmusiccy
#fyp
About
Robot
API
Legal
Privacy Policy