@bitaliho360: #trending

Bitaliho360
Bitaliho360
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 11 June 2026 13:49:38 GMT
251693
9953
99
410

Music

Download

Comments

bakhsheshetz
Bakhsheshe@tz :
Hawa niwaongo, hii ni michezo CCM wanajalibu kuicheza, ili nchimbi awe raisi 2030
2026-07-26 05:35:24
6
frank_mnyaga.kakaenu
Mnyaga.255🚛.Kakaenu hapa😎 :
mi nilikua jera jamnai kwani kikwete ashamlia mudawake wa uraisi🤔
2026-07-26 05:38:46
4
255_jovin
255_Jovin :
mmechoka kutangaza wazeee!!😁
2026-07-26 15:55:34
1
jln_tz
J.L.N :
KWANI AMEKOSA NINI MPAKA AFUKUZIKEEE?
2026-07-26 07:25:46
5
bn2536jewelry1
BIG NYEMBA TDM🇹🇿🇿🇲 :
unasoma gazeti au mbn sielewi
2026-07-26 15:07:26
1
agentmoyo0763411222
tanzania kigamboni viwanja :
nyumba viwanja mashamba yard beach
2026-07-25 11:53:57
5
hamysylas
hamy🌹 :
ni project2 ya kuzima yaliyotokea mo29 ndo inaendlea hakuna kingne
2026-06-11 22:43:04
13
magreth.lusaka
Magreth Lusaka :
wanamchukia vile baba wawatu
2026-06-17 20:00:30
8
robert.mwangoka6
Robert Mwangoka :
hii isingeandikwa bila ruhusa kutoka juu....HATUTINGISHWIIIII!!!!!!
2026-06-13 04:07:59
8
betson942
Mr.Rickson :
hivi hii radio IPO nchi gan
2026-06-11 18:46:28
5
janembise4
janembise902 :
walicho kipanda. kimekua na mizizi.
2026-06-11 20:55:09
6
twahamohammed468
Twaha Mohammed :
wacheni fitina mnataka kuipeleka nchi kwenye matatizo
2026-06-12 10:44:52
8
officialpmusic
Official pascal tz :
🤣🤣🤣🤣🤣 nan
2026-06-12 13:27:15
2
kunyalamaulilo600
KUNYALA GERALD MAULILO :
inquiring mind ?
2026-06-12 04:41:03
4
messenger.174
MESSENGER 1 :
saw
2026-06-12 07:34:40
2
fredy.lazalo
Fredy Lazalo :
ipo siku kitawaka tuu
2026-06-13 18:35:41
4
abasihaji969900outlook.3
Abasi @hotmail.com :
hii mada ya Lini?
2026-06-12 10:39:49
4
hamisi.mkana7
Hamisi Mkana :
nakipanda kindi chenu
2026-06-12 09:03:09
3
said.wangubo.astar
Said wangubo astarco :
nyinyi Bado tuna waitaji acheni kufwatilia siasa tagazeni michezo
2026-06-11 18:00:58
8
raphael.ngoda
Raphael Ngoda :
chadema oyee 👍 tukopamoja
2026-06-11 19:52:43
7
faridanandonde
Farida Nandonde :
mchimbi yuko vizuri aondoke uyo anae mtaka mchimbi aondoke
2026-06-12 04:52:20
7
said.wangubo.astar
Said wangubo astarco :
mimwenye mgeni ata sijui iko wapi
2026-07-25 18:51:23
1
phano.munna
Phano Munna :
matokeo ya Simba vp😂😂
2026-07-26 06:44:32
2
godfrey.silwimba6
Godfrey Silwimba :
naomba mngu amended
2026-07-25 10:30:22
3
user2622260315082
kipenzi Rashidi :
hii propoganda. tunajua ilo
2026-06-13 17:46:30
4
To see more videos from user @bitaliho360, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About