@tayari63: Ata kuomba pia nimechoka sana

TAYARI🤍🤍
TAYARI🤍🤍
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 11 June 2026 13:58:33 GMT
10306
459
146
5

Music

Download

Comments

user3913662886919
god first :
pray mama muombe mungu afanye moyo wako uwe mwepesi akuna kinachoshindikana kipenz 🥺😢
2026-06-12 09:50:59
3
vailetycharles25
vailetycharles390 :
Usikate tamaa ivyo jaman wakat wa mungu n wakati sahihi
2026-06-12 15:36:18
2
lilian_mwakatage
Shoshana_Tz :
never ever give up... God's real
2026-06-12 14:51:28
0
davina3509
davina :
Usiongee ivi wew ni muhimu sana apa duniani na mungu yupo piah anakupenda Uko wapi mpendwa Tuombe wote mungu Atulehemu dah najisikia kulia mwenzio mungu yupo ndungu kwa yote usichoke 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
2026-06-12 18:41:45
0
vyone.gody
mrs lion06 :
Napitia magumu lakin mungu aniache ache nimlee mwanangu 🙏🙏
2026-06-12 17:28:04
0
lumaya.andrew
lucie🥰🦋 :
Tubu mshukuru Mungu .utaona nafuuu usitamani hayooo ,Mungu ampi mtu jaribu asiloliweza.pole sana akupe nguvu
2026-06-12 16:34:14
0
jackline.joseph28
Jackline Joseph :
mm nipo kipenzi
2026-06-12 14:02:41
0
user5671685460270
Mama Mercy J.I :
Mungu anipe maisha nipambane kulea wanangu wasogee ooh
2026-06-12 16:59:51
0
user3209404979463
mis_______save :
ndugu yangu usiache kusali maana hata kwenye bible neno linasema "jipe moyo utashinda" ni kweli Kuna mda Mungu anachelewa kujibu ila jibu lake ni la kushangaza sana endelea kumuomba roho mtakatifu bila kichoka Mungu anaona na anasikia
2026-06-12 15:29:57
0
shopwithvee97
shopwithvee97 :
UUsichoke mpendwa Mungu wetu ni mkuu sana Mungu wetu ni muaminifu sana narudia Tena Mungu wetu ni mkuu Sana Kesho yako ni kubwa sana
2026-06-12 14:54:44
0
jescajumanne722
Jesca Jumanne722 :
Daaah amka saa nane usiku au Saa Tisa usku mlilie Mungu kwa nia ya dhati kabisa utakuja kunishukuru pia toa dada ka kanisani kwa mwambia Mungu anatoa sadaka yangu kwa ajili ya jambo linalokusumbua pia funga sana mala kwa mala jibu utalipata dear mana ninaushuhuda na hayo ninayokueleza Hakika mungu hashindwi kabisa
2026-06-12 13:47:12
0
jenifamoses1
jennymo :
Daaah!Eeeh Mungu tusaidie
2026-06-12 13:30:41
0
user57429977781661
Secy ❣️🥰 :
Mungu simamisha dunia me nishuke mechoka pia jaman 😭😭
2026-06-12 08:56:34
0
preciouspeles2103
༆𝖆𝖒 𝕻𝖗𝖊𝖈𝖎𝖔𝖚𝖘🌹🌹💦 :
haya maombi ndio huwa naomba kila sikuu naona kama nachelewaa😭😭
2026-06-12 14:16:21
0
user7980763861335
choosen one :
ooh sorry dear
2026-06-12 15:07:06
0
lightnessjoseph653
Light :
polee dear
2026-06-12 14:45:42
0
itsnimu25
it's nimu🦋 :
Sorry my love🥺
2026-06-12 14:29:54
0
lufunyo.ajuaye
lufunyo ajuaye :
pole sana, usisemee hivyo,
2026-06-12 06:38:20
0
gloryshayo8
mama zur :
mm ningeomba aniskie kuomba kwangu na nitetee nipate haki za watoto wangu😭
2026-06-12 12:35:20
0
peace.girl569
peace girl :
Mungu anaupendo mno na Mungu anakupenda mno na amekupitisha kwenye Jarbu anajua unaliweza na hakuna nyakati ngumu zinazo dumu relax ataanzia pale unapo ishia wewe 🫂♥️🥰
2026-06-12 14:54:23
2
getrudamatambi
@getruda :
akuna ninacho shindikan Kwa mungu sikate Tama wakati wako bado utafika tu Kwa mungu awachoki🙏
2026-06-12 14:33:02
0
deborasaimon718
DOS princess 🌹🌹 :
hata kama mdomo hauwezi kuongea Tena moyo wako na machozi naomba umuelekezee MUNGU mkumbuke Hanah aliomba Hadi akaonekana kama mlevi mimina moyo wako
2026-06-12 15:04:31
1
reenyrich7
Golden Heart❤️ :
Jaman kuchoka kupo ila katika kuchoka Mungu anaweza tena kukupa nguvu mpya mweleze tu Hali unayopitia atakupa nguvu mwenyewe nilifikia hapo
2026-06-12 16:19:26
0
mamynell4
mamynelly🌸🌸 :
Huu wakt ambao unakata tamaa ndy mungu anaweka mkono wake naushuhuda na iki ninachosema 🙏🙏🙏
2026-06-12 02:19:38
0
To see more videos from user @tayari63, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About