@thematrida: Replying to @Lorelei Riba inapoonekana kama gharama ya ziada, watu wanasahau kuwa mfumuko wa bei unashusha thamani ya lile deni kila mwaka, wakati thamani ya ardhi au nyumba (Asset) inazidi kupanda. Thamani ya milioni 80 unayodaiwa leo haitakuwa na nguvu ile ile ya manunuzi miaka 5 au 10 ijayo, lakini kodi unayokusanya na thamani ya mali vitakuwa vimepanda sana. Deni linabaki palepale, lakini kipato kinalizidi nguvu. Karibu kwa consultation services 0743522226