@bluesfurniture1: Mabadiliko yanayoonekana! ✨ Hivi ndivyo tunavyobadilisha wazo kuwa kabati la ndoto zako. Kila hatua imefanywa kwa umakini mkubwa kuhakikisha unapata ubora, uimara na muonekano wa kisasa. Tazama mpaka mwisho ujionee matokeo. 🔥 Hii kabati kushoto unapanga viatu na kulia unahifadhi nguo zako🚀 380k & free delivery 🚚 0679108378 Whatsapp/Kawaida TUPO MABIBO ##fyp #fpy #furniture #daressalaam #homedesign