@kamjamaatz.safariguide:

Rama Msuya
Rama Msuya
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 11 June 2026 14:34:41 GMT
14189
649
52
30

Music

Download

Comments

kevin.jackson64
Kevin Jackson :
the first attempt kwa pump .....ilikuwa sio sawa ...Engine inge krank bila kuwaka ...then hiyo ingekuwa fuel switch pump....but since haikucrank kabisa then ingekuwa mambo mengine kama hiyo ya self....saa ingine pia unaweza washia hapo hapo kwa kuunga self mtoto na kubwa mambo inaenda... muhimu sana kuwa na kiwaya ..
2026-06-12 04:33:44
1
yuudharsiif
yuudharsiif :
chuma ni manual si una push to start 😁😁
2026-06-12 03:48:06
1
abdul_italian_guide07
abdulaziz msuya :
bro umemaliza broo💯
2026-06-12 05:00:15
0
bosianabosiana
Bariki C.E.O :
maujanjaa jamaaa tembea na waya😂😂
2026-06-11 18:06:21
3
davxonautomobilemechanic
DavidsonCovidTheMechanic🚘🛠️ :
Sasa stater motor haizunguki ww unaenda kuunga pump🤔
2026-06-11 20:09:03
2
bizzowwildlife0
@officialbizzow wildlife 🇨🇵 :
hahahahah na bado nilete charge au
2026-06-11 14:38:13
1
zamani231294
zamani🧔 :
Sasa Gari ya manual mnatembea na mwaya ya nn😁😳😳
2026-06-11 23:01:30
0
davidnanyaro2
davidnanyaro2 :
Hadi tunaoendesha macho bundi jee😎😎 tutembee na waya pia???😏
2026-06-12 03:14:27
0
michael.ngoishiye5
Michael Ngoishiye :
ahahahah matata hiyo nimeona kwako
2026-06-12 05:45:24
0
laurentsamila
𝕃𝕒𝕦𝕣𝕖𝕟𝕥 𝕤𝕒𝕞𝕚𝕝𝕒 :
daah mimi sijui natembea na Nini hapo 😂
2026-06-11 21:46:56
0
cold.montana
Cold montana🥶🏝️ :
ngojaa igusee body tajiri akuwashie moto😂😂😂
2026-06-11 18:51:27
0
bushman662
BUSHMAN :
Sina waya na si lali mjomba
2026-06-11 21:28:03
0
kelvinpascal3
𝐾𝐸𝑉𝑂𝑂 :
wew kamjama ni fundi haswaa 😀😀
2026-06-11 21:57:35
0
yusuphsalumu
Yusuph 🇮🇹🇹🇿 :
Uyo n elii
2026-06-11 15:17:05
0
jackson.leyeyo
king jackson Leyeyo 🇹🇿🇰🇪 :
uko vizuri mkuu 😂
2026-06-11 16:48:05
0
veroniq073
veroniq :
itabid sa wapare mfungue chuo chenu maana mnaweza pale wanapokutana rama msuya na elly msuya sasa mmmmh
2026-06-11 16:18:15
0
tahermir1506
4602 :
wooozoloo😁😁😁🇰🇪
2026-06-11 21:39:59
0
davidnanyaro2
davidnanyaro2 :
Safii
2026-06-12 03:13:38
0
kamjamaatz.safariguide
Rama Msuya :
chuma kimewaka
2026-06-11 14:35:12
1
futi.6
sr71 blackbird :
pump utaifata pale ambapo starter inazungusha lakini haliwaki.
2026-06-12 03:29:45
0
bazilyjr7
Amoce Bazil :
huu mchezo upo sanaaa kwenye cruiser
2026-06-12 03:44:04
0
the__code__man
Mr_G_•°• :
TOYOTA uamue kulala porini mwenyewe
2026-06-12 05:47:21
0
abdulamir861
Abdul Amir :
kwa automatic vp
2026-06-12 06:16:47
0
anojo36
Anojo :
siku ingine tembea na testa alafu tatizo kama hiyo nipigie nikupe madini😳😳😳
2026-06-11 17:53:59
0
kakaguide0
Kaka guide ❤️ :
Sasa sisi wa v8 😂😂😂 apo ni unalala 😂 @𝕃𝕒𝕦𝕣𝕖𝕟𝕥 𝕤𝕒𝕞𝕚𝕝𝕒
2026-06-11 21:54:43
1
To see more videos from user @kamjamaatz.safariguide, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About