@ashmar_quotes: Mola wetu, tujaalie riziki za halali, pana na zenye baraka. Tufungulie milango ya kheri tusiyoitarajia, na utujaalie mafanikio katika mambo yetu yote. Tuweke karibu na yale yanayokuridhisha na utuepushe na kila jambo lenye kutuondoa katika njia yako iliyonyooka. Yaa Rabb, tupe utulivu wa moyo, afya njema, maisha yenye baraka na mwisho mwema. Utuweke mbali na riziki za haramu, fitna zilizo wazi na zilizofichika, na utulinde dhidi ya shari za dunia na Akhera. Hakika Wewe ndiye Mtoaji Bora wa Riziki na Mwingi wa Rehema. 🤍 Aamiin Yaa Rabbal 'Aalamiin.#fy #contentcreator #jumaamubarak #dua #trendingvideo @TikTok @tiktok creators @O.KHAN👑 @ETHAN_TZ🔥💜 @samayra @AzamTV
🌸~♡Ashmar~🦋🥰
Region: TZ
Thursday 11 June 2026 15:27:55 GMT
Music
Download
Comments
Safia :
Amiin
2026-06-11 17:42:44
1
Bala Hatun 🇹🇷 :
Ameen
2026-06-12 07:30:03
0
Brkante13 :
Ameen
2026-06-11 20:45:17
0
ibrahim singano :
allahumma ameen
2026-06-11 15:35:43
0
Baby Key🥰💝💘😍. :
🤲🤲🥰
2026-06-11 16:00:04
0
Samy :
🙏🙏🙏
2026-06-12 05:13:56
0
To see more videos from user @ashmar_quotes, please go to the Tikwm
homepage.