@sospeter_owuor: #exportbusinessconsultant #investmentknowledge #coffeeexporters #tanzcoffeetradingcompanyltd

Parker
Parker
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 11 June 2026 15:38:34 GMT
2499
105
13
6

Music

Download

Comments

young.entrepreneu775
small business :
na weza kusema vijijini hakuna hamasa ya upambanaji weng walishalizika huk vijijn
2026-06-14 14:19:46
1
pochi_store0
Pochi Store :
Uelewa mdogo wa mambo na kukosea exposure vijana wengi wanadhani fursa ni kuuza Nguo na Simu ...... lakini mikoani kuna Potential kubwa Sana mfano kwenye kilimo
2026-06-12 05:47:31
1
gadafimalunga
G :
broo weng wao wanaamin kilimo co fursa
2026-06-13 12:15:20
1
hemedyjuma420
hemedyjuma420 :
uwezo wetu ni mdogo wa kisaikologia
2026-06-11 15:51:36
1
krmcashew1
KOROSHO NA MARAFIKI :
ngara kagera🙏
2026-06-18 04:51:29
0
jimmy.masofa
Ufahari_JS_furniture :
ngara mwaka wa zamani niliwahi peleka nguo..ila shida kwangu ikawa kupata mzawa muaminifu tuu..
2026-06-11 16:00:52
1
directoreddy_
Director Eddy :
Mzungukoa mdogo sana labda ufanye investment ambayo utegemee ikulipe atleast kuanzia mwaka na kuendelea
2026-06-11 16:57:33
1
To see more videos from user @sospeter_owuor, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About