@siasatz: ๐Wakenya waturudishie Mombasa yetu sasa. Kumbe Tanganyika ilichelewa kupata jina kwa takribani miaka miwili!๐คท๐ปโโ๏ธ. Muendeleo huu wa #LegalHistory #MaktabaYaMaarifa na Prof Kabudi unapatikana kwa urefu zaidi YouTube Siasatz30 #SiasaTZ #SiasaZetu #TheShepherd30
Kilimanjaro ilikuwa sehemu ya Kenya ๐ฐ๐ช Bandari mombasa ilikuwa himaya ya Tanganyika
2026-06-12 07:26:07
4
BEI RAHISI / CHINA MALL :
Africa was like a public club. Very sad
2026-06-12 04:29:32
3
Edward :
Ombi langu Kwa viongozi watendaji wa serikali yetu arusha ngorongoro Kilimanjaro tuwe Kenya Moja Kwa moja ili wanangorongoro waende kupewa haki Kenya maana serikali ya Tanganyika inawabagua wanangorongoro
2026-06-12 12:11:22
2
peter mgaya :
mbona tubapenda kuwajadili sana wazungu mbona wao hawatujadili sisi wapo bize na mambo yao nass tuwe bize na mambo yetu wazu wanatuchezea sana waafrca
2026-06-12 02:09:40
2
use kurwa mpemba :
pwan ya tanganyika ilikuwa sehem ya zanzibar mombasa ilikuwa tanganyika na pemba ilitakiwa iwe kisiwa cha kenya
2026-06-11 21:21:09
3
๐ฅZahrau Collection# :
Mombasa Sio sehemu ya tanganyika ni sehemu ya znzbr
2026-06-12 11:05:53
1
user8583042679142 :
warudishe Arusha Kenya basi
2026-06-11 23:29:05
5
mr nobody :
nani amesema tunataka kua tanznia ๐คจ hatutaki
2026-06-12 05:11:27
2
Omar Suleiman :
KILIMANJARO IWE KENYA ILI WACHAGA WOTE NI WAKENYA.
2026-06-12 08:13:23
1
user24024190945116 :
Tungekuwa na mombasa tungekuwa na bandari sis kwenye East Africa hii โ
2026-06-12 04:03:37
0
Mkenya :
N kweli Mombasa n sehemu ya Tanzania the way w2 wa mombasa wanabehave wanibhve kma watanzania
2026-06-12 06:15:50
1
Nasra Mohammed449 :
Asante Prof Kabudi kwa historia hii, tunajifunza mengi
2026-06-11 16:29:56
1
Ngumu mtu :
Pwani yote ulikuwa ya Zanzibar wala sio Tanganyika
unatuhadhia vile wazungu waliandika ama vile iliishi kua. tukienda na misingi ya kikabila basi Tanzania sehemu kubwa itakua kenya sababu wadigo wengi wako kenya, wamaasai, na wakuria hio wachana na ya wazungu
2026-06-12 11:49:51
0
Big Boss :
wape historia hawa wakenya
2026-06-12 11:00:28
0
Gladys ngalla :
acheni kelele Mombasa sio tanzania
2026-06-12 10:30:59
0
Kennedy Sitati Tembula :
Njooni muichukue Mombasa yenu
2026-06-12 10:05:09
0
abiamata :
Hizi mipaka zote ni kazi ya mkoloni. Sisi tu ni watumwa wa wakoloni wa sasa, ndio maana historia yetu tunajiwekea mipaka za kijinga, ambazo ziligawanya makabila ya kiafrika ili wasiwe na nguvu.
2026-06-12 09:45:46
0
urocke23 :
But kauli yake hailet maana Kama Kilimanjaro ilikuwa kwa mjerumani ilikuwa ya Tanzania toka huko na Mombasa ilikuwa ya Tanzania so kuwapa Mombasa haikuwa na maana kuwa tulibadilishana na mlima mlima ulikuwa kwetu na Mombasa ilikuwa yetu so why Mombasa ikaenda Kenya ?tuseme tu bandari sio mlima
2026-06-11 17:47:28
0
To see more videos from user @siasatz, please go to the Tikwm
homepage.