@qualitasgrill: Ukisikia kiboko ya kukata shombo ndio hii sasa mvuje paste inakata shombo kuliko hata ubani kuliko hata ndimu na limau na inaacha nyumba na harufu nzuri moja kati ya kombo bora ninayoipenda ukichana na ya kotimir n mazagazaga yake inakaa n harufu hata miezi2 inasaidia sana kulainisha mboga ni best combo yaku marinate mboga km samaki kuku nyama inakata sana shombo la dagaa kwa wale wenye majiko ya open kitchen enjoy 😉 #creatorsearchinsights #fyp #fypシ゚viral #qualitasgrill #CapCut