JIBU LA SWALI HILO MIMI NINALO. Walichonacho Ambacho sisi hatu ni " Viongozi Waadilifu wenye Maono ya Maendeleo ya Nchi na Ustawi wawatu wake"
2026-06-12 09:12:17
59
manvet :
Kwa upande wangu nadhani magufuli angekuwepo hata kwa miaka 15 tunge pata maendeleo ya maana sana bas tuuu sasa hivi ndo kwanza tunaanza kudumbukia shimoni
2026-06-11 23:35:38
41
Martin Wambura :
poor leadership ndy tatizo
2026-06-12 07:34:47
3
Spiderboy_pety :
bro nyamazaa tu usije ukapotezwa ndugu🥺🥺
2026-06-11 17:37:46
40
big kijembe :
October 29
2026-06-12 10:51:07
5
Barcelona :
unamanisha SINGIDA AO SINGAPORE 🇸🇬
2026-06-12 04:21:35
24
official..Double..M..🦋 🦋 :
Kaka kwer akili yngu inaturia sana inapopata chakula cha akili 🥰🥰🥰..
2026-06-11 21:54:13
25
benjaminpoints :
sisi tunawazidi maana tuna Amani😅😅😅
2026-06-12 06:03:18
3
mudhihir.muuh :
mungu na muda juhudi na imani
2026-06-11 16:15:39
24
Salu Masoni :
hawana tama namadalaka wana uchu wakuishi maisha mazuli
2026-06-11 21:24:06
19
Dr.samila :
A man with logics
2026-06-11 16:16:14
9
mr zepha :
Hii john heche asione
2026-06-11 21:35:04
8
Acrey Alistides :
keep it up kaka AMANI appreciate sana you think deeply big always
2026-06-12 16:07:54
0
Pollystore🛍️ :
Si wako wachache
2026-06-11 22:31:33
1
mr.ally :
Inatuuma sana wazarendo
2026-06-11 19:55:38
12
Joeptimus Prime :
acha sisi tuendelee kuwaleta wakina Rio Ferdinand na kuwaimbia songs😄
Sema inauma 😭
2026-06-12 10:44:38
3
Ramadhan Juma :
kwaiyo tukusaidie nn
2026-06-12 08:27:24
0
Saidi Abdi :
Nakuajiri
2026-06-11 19:36:25
8
Josephat John :
hoja ni moja tu, poor leadership.
2026-06-12 06:42:38
3
Iddy Iddy :
mwana Sheria Niko hapa
2026-06-12 12:11:03
1
Mkina Hassan :
hii ndiyo Tanzania
2026-06-12 13:48:39
1
Eduu wamambo :
outcome ofminimization of corruption brings growth of the country
2026-06-12 06:08:27
4
Shiva Ronso :
hapo umesahau deni 😄😄😄😄😄 noma sana
2026-06-12 04:24:37
4
Dulla Magwangwa :
Viongozi ndio tatizo
2026-06-12 04:15:26
3
To see more videos from user @amani_dimile, please go to the Tikwm
homepage.