@mc_mgema: Hakuna hisia nzuri kama kuona maharusi wakipokelewa kwa heshima, taadhima na furaha kubwa. 🤍💍 Kila hatua yao kuelekea ukumbini ni ushahidi wa upendo, dua na baraka za Mwenyezi Mungu. Karibuni mfalme na malkia wa siku hii! 👑✨" Je, nawe unatamani siku yako ipambwe kwa mpangilio, heshima na kumbukumbu zisizosahaulika? 🎤 Wahi kufanya mawasiliano na MC Mgema kwa usimamizi wenye hadhi na ubora. #islamicwedding #islamic_video #HarusiZaKiislamu #Mc #zanzibar