@kishkionlinetv: Kuna watu huzungumza na viongozi wakasikika, lakini Khaulah bint Tha‘labah alizungumza na Allah Mola wa walimwengu, na malalamiko yake yakasikika juu ya mbingu saba. Hadi Qur'an ikateremka kumtetea. Hiki ni kisa cha mwanamke aliyethibitisha kuwa hakuna sauti ya mwenye kudhulumiwa inayopotea mbele ya Allah Mwandish wetu Abdillah Mashi anakupa simulizi hii kiundan zaidi. ________________________ Tufuatilie KISHKI ONLINE TV kwenye: Instagram → KISHKI ONLINE TV Facebook → KISHKI ONLINE TV TikTok → KISHKI ONLINE TV ▶️ YouTube → KISHKI ONLINE TV #mtazamo #KishkionlineTv #nuruyadiniyako