@jimmy_mofuga_mindset: Je, shule pekee ndiyo njia ya utajiri? 🤔 Watu 40 wenye ndoto tofauti hawawezi kufundishwa kwa mfumo mmoja na mwalimu mmoja mwenye mtazamo mmoja wa maisha. Pia, akili ya mtu aliyekua tumboni kwa miezi 9 haiwezi kupimwa kwa karatasi la mtihani wa masaa 3 na kuamuliwa kuwa ana akili au hana akili. Elimu ni muhimu, lakini mafanikio ya kweli yanahitaji ubunifu, ujuzi, uthubutu, nidhamu na uwezo wa kutatua matatizo halisi ya maisha. Unakubaliana au unapinga? Toa maoni yako hapa chini. 👇 #Biashara #Mafanikio #Mindset #Elimu #Ujasiriamali

Jimmy_mofuga_mindset
Jimmy_mofuga_mindset
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 11 June 2026 17:14:12 GMT
1058
82
5
5

Music

Download

Comments

mwananzngo.the.driver200
MWANANZENGO THE DRIVER :
🤝🤝
2026-06-11 17:18:39
1
kisombo08
kisombo :
🥰🥰🥰
2026-06-11 20:15:17
1
To see more videos from user @jimmy_mofuga_mindset, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About