Allah awafungulie.waume zetu milango za Rizqi ili.wazidi kutustiri..Allahumma Ameen🥺🥰
2026-06-11 19:42:42
19
Dee light :
Comment section imenifanya nigundue nimepata mke mwenye akili mnoo mpaka dua dua ananikumbusha tusome dua unakoenda hujui kuna nini mbele na shukrani napewa na watoto anawaambia mwambieni baba assnte mungu ambariki sana huyu mwanamke
2026-06-12 02:05:42
10
user8611023849611 :
Kweli 😔😔😔😔😔 allah zidi kunilindiya mume wangu. Na kumpa afya njema . Allahuma amin 😔
2026-06-11 22:59:11
7
user9717936711961 :
nipo nasoma coments za wanawake sijaipata yenye maana hata moja😂
2026-06-12 07:19:06
1
latifanyoni :
huy sheikh akil han mm mume wangu husema Asante Kila akimaliza kula ww kutafuta Kwa jasho ni kazi ya na sis kupika Kwa jasho sio kaz yetu tunawasaidia
2026-06-11 22:08:16
6
user5033445733731 :
mume jukumu lake mke ihsan yake
2026-06-12 06:23:41
2
zulekhat :
mmmmh mie napta tu nimechoka mie
2026-06-11 18:15:46
3
Nanaa :
Akushukuru nini wakati ni jukumu lako la kawaida na imekulazimu?
ni ihsani yangu kutoa ahsante.
ila kupika ni option si lazima mke ampikie mume kwa sababu ata mume anastahili kumpikia mume
2026-06-12 02:44:24
1
💍Mrs Abdou🇰🇲🇹🇿🦋💓🌹🔏 :
dah mungu amjaalie mume sekta hiyo akishiba kabla hajaamka utasikia ahsante kwa chakula kizuri nimeshiba namie sina hiyana ahsante pia kwa kututafutia ☺️☺️☺️☺️☺️
2026-06-12 07:08:59
2
Hajra 🍓 :
Wajibu na ihsani usifananishe kuleta ni lazima na jukumu lako ila kukupikia ni ihsani wewe ndo umpe shukran anaejitolea kukupikia kwa upendo😂
2026-06-12 00:56:37
0
manucho.fruit.parlour :
MashaAllah…hawajui wallahy tunavyotesekaa Allah atupe nguvu na subra wallahy 🥺🥺🥺
2026-06-11 21:55:15
2
emmycollections :
si umesema ni wajibu kwhio tunaona ni kawaida ila sisi sio wajibu sanna kupika kwahio wao nd watumotivate ili tupike kwa sababu ni kazi yao kupika
2026-06-12 05:03:57
0
user7171753778140 :
Utamsifu mume na kumshukuru kwa kila analokufanyia. Na dua kumuombea lkn yeye hana appreciation wala kuskusifu aona vigumu
2026-06-11 21:38:30
2
oumfeyswal001 :
mashaAllah nkweli Alhamdulillah🥰
2026-06-11 20:03:11
0
TRIPPLE-S :
swadakta umegusa ndipo
2026-06-11 17:45:15
2
Aqyf :
daah
hii imenigusa wallah 😭
2026-06-11 17:54:15
1
Create nickname :
sitaona comment tofauti
2026-06-11 18:27:19
1
user2266163288690 :
mh
2026-06-12 04:44:42
0
Raniya_babla :
sio lazima
2026-06-12 05:54:52
0
laith :
ktk hii dunia ukipata mke anaekushukuru kwa kukamilisha mahitaji ya nyumbani basi ni neema kubwa kwako
2026-06-12 09:23:56
0
emmy :
kumbe kunakusifiwa ukipika😁leo nimpikie chakula kipya cha you Tobe nishukuriwe😁
2026-06-12 08:12:42
0
Mama Ali :
Ni Miongoni mwa Wanaume wasio na Hisia na wanawake
2026-06-12 08:03:46
0
user9604393091217 :
halooooo kuna wengine hata uwaambie hivyo hawasifiii unaweza ukapika kila siku ile siku unaumwa mtu hata pole hakwambii utaumwa mpaka utapoa hajalli wala hajui
2026-06-12 07:56:55
0
Jasba Kipingu :
hongera
2026-06-11 17:50:34
0
To see more videos from user @alhaajartvkenya, please go to the Tikwm
homepage.