@fraverofficial: 🥺🥺😭😭 #fravercever #fraver

fraver official
fraver official
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 11 June 2026 17:45:13 GMT
116426
13762
584
364

Music

Download

Comments

user1352067781279
my nuru :
Eeeee Mungu naomba uwakumbuke hawa watoto
2026-06-11 18:11:39
26
user9202517729098
user9202517729098 :
jaman kama mama imeningusa sana kwakweli
2026-07-28 12:17:03
24
dr.mahyumbyi1
dr.mahyumbyi :
Mungu wabariki watoto hawa niwako pia😭
2026-07-27 14:52:07
11
esthermalaki
bibi wanne :
pole mtoto mungu wangu wapiganie Hawa watoto uwakumbatie kwenye mbawa zako ewe mwenyezi mungu nakuomba
2026-07-30 05:44:31
5
retisi.james
Retisia James :
jaman hadi na mm nimelia napenda sana watoto spendi wateseke
2026-08-03 19:13:57
4
nicodemasnichola7
nicholaus cage :
daaaàah imenigusa mimi kama mzazi
2026-07-28 16:59:26
2
frolahthobias
Frolah Thobias :
Jmn kwann usiku wa leo nimekutan na kitu cha kuniumiza moyo wang,pole mtot
2026-07-27 20:54:31
5
barakaphares987
Baraka Phares :
sjui kwann mungu alikaa mbali nas😭😭😱
2026-07-28 07:13:56
3
allyscotty3
Allyscotty :
naming mungu yupo nas
2026-07-27 17:01:18
1
kibwanashabani857
Sheb'son Tz♥️♥️ :
Ee Mungu nawaomba waweke kwenye mikono salama Hawa watoto
2026-07-27 12:06:50
5
user5947628337733
user5947628337733 :
emungu duuu aina jins kama ulivy kilajamb unalijuw wew so sina budi zaiditu asante
2026-07-27 14:23:34
2
lucyrobert595
lucy :
eee mungu watete maana wew ndo baba wa Yatima 😭😭
2026-06-21 12:14:05
3
sam254477
sami chaupole ke😌 :
🥺hii imenikumbusha mbali kipindi npo shule unakimbia unafika nyumbani unakuta hamna chakula inabidi unarudi tu shuleni yaan daah Mungu tusaidie🥺🥺
2026-08-07 23:17:09
1
kamwana0015
𝐊𝐀𝐌𝐖𝐀𝐍𝐀 𝟎𝟎𝟏 :
𝐆𝐨𝐝 𝐛𝐥𝐞𝐬𝐬 𝐭𝐡𝐞𝐬𝐞 𝐤𝐢𝐝𝐬 𝐟𝐢𝐫𝐬𝐭 𝐈 𝐜𝐚𝐧 𝐰𝐚𝐢𝐭
2026-06-11 18:20:47
7
neemajoseph2916
Neema Joseph :
mungu uwalinde wao watoto
2026-07-27 20:55:12
1
mangesimon733
MANGE SIMONI KASONGI :
tia nguvu kwa Waja wako bwana nakuomba
2026-07-27 19:57:03
1
yasri3734
yasri :
mungu mkubwa ana makusudio yake
2026-07-27 15:50:03
1
user8138190331318
Mama Aminaa ❤️🌱🪴 :
pole mwanangu mungu akulinde ww umeniliza mungu yupo pamoja nawe
2026-06-30 18:47:16
1
user476199225131
faima :
hee mwenyezi mungu waongoze awa watoto wape baraka zako mungu amina 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
2026-07-27 20:52:19
1
sowama11
sowama 11 :
umeniliz sana mdogo wang
2026-07-27 17:32:23
1
fikili.simba
mawenge pq45 :
dar nyie saw
2026-08-06 19:29:21
1
babyboydaud
baby boy :
mdogo angu mungu yupo nawe ata mmi nimeyapitia🥰🥰🥰
2026-07-27 13:35:43
1
user2387379357410
tonymakinda :
ee mwenyezi mungu walinde hawa wanao
2026-08-06 19:43:42
2
user1086698582861
eva :
ukute baba alikataa damu yake akamtelekeza mama naye akafariki dunia hii😢😢😢
2026-08-01 10:57:59
2
hildaismaily
Hilda :
jaman dah mungu wape mwisho mwema nawapenda sana wadogo zangu
2026-07-29 19:24:01
2
To see more videos from user @fraverofficial, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About