@kijonjojnr: Mataifa ya DR CONGO, AFRIKA KUSINI, MOROCCO na CAPE VERDE ambayo yote yanatokea Barani Afrika yatapata nafasi ya kucheza kwenye Uwanja huu.. Mechi kati Hispania na Cape verde ambayo itachezwa Juni 15 itakuwa mechi ya kwanza ya Kombe la dunia itakayochezwa kwenye Uwanja huu.. #WorldCup2026 #MercedesBenzStadium #FootballTikTok #SokaLaDunia #StorytellingYaSoka