@swiiftiphonecenter: 📱➡️🍎 Unahama kutoka Android kwenda iPhone? Watu wengi huogopa kupoteza picha, video, contacts na WhatsApp zao wakati wa kuhamisha data. Habari njema ni kwamba unaweza kuhamisha karibu kila kitu kwa hatua chache tu bila kupoteza kumbukumbu zako muhimu. 🎥 Tazama video hii ujifunze jinsi ya kuhamisha data zako kutoka Android kwenda iPhone kwa usalama na urahisi. 💬 Je, wewe ni Team Android au Team iPhone? #iPhoneTips #AndroidTips #DataTransfer #MoveToiOS #TechTips