@tangawizipori: Replying to @its.priscah6 Nikupe siri ya kuondoa fungus, miwasho na harufu mbaya kiasili. ☑️Kitunguu maji ☑️Tangawizi ☑️Limao Tumia mara 2 kwa siku #tik_toktanzania #fypシ゚ #TangawiziPori
TANGAWIZI PORI | 📍Mwanza
Region: TZ
Thursday 11 June 2026 19:36:48 GMT
Music
Download
Comments
Emmaculate kemunto :
any ya allergies nafura mwili vibaya sana please 🙏 😢 😔
2026-07-19 06:48:04
0
Ms-recho❤ :
ni limao na nn
2026-07-18 07:48:06
0
Luo Queen 👑 :
unaeza affect famili planning
2026-07-02 12:10:45
6
Eddy :
inatibu nini hii? na unachemsha nini na nini
2026-06-11 20:27:06
13
speciloza :
ni limao na nin hapo
2026-06-18 14:34:41
1
nadyacute 😄 :
jmn mm swez kuiyacha hy nmepon vinyama miwasho n uchafu
2026-06-18 09:51:25
7
lainessi :
unakunywa au
2026-06-11 20:05:30
24
LINDA MFOI🦋🌹🦋 :
na ushuhuda
2026-07-18 09:32:41
1
Suby komwe :
unakunywa au unaosheakwa bb
2026-07-18 13:52:34
1
baby fetty :
unachemsha malimau na ninini
2026-07-18 08:24:22
1
Annie# :
limao na nin kipenz tunaumwa wengi
2026-07-17 19:13:55
1
Gal ya Bazuu😋😍 :
unakunywa au unaosha nayo??
2026-07-17 19:10:05
1
Jully oo :
kitunguu maji... ni kipi
2026-06-17 17:23:31
8
Sham Bae :
mimi nawashwa mpk navimba uku kwa bibi
2026-06-12 18:06:20
7
nkiro1 :
kimao n nini ingine?
2026-06-22 13:41:03
2
leah mpole :
unakunyua ama
2026-07-15 08:43:06
1
Sabra sultan :
jamani Mimi nawasha mwili nimetumia dawa nimechoka
2026-06-20 07:25:32
6
Veronic Musocer :
Ety mjamuzito anatumia eeh
2026-07-08 17:14:39
1
user2910265781579 :
Yan adi raha nimetumia sai Niko poa ila bado nameza kitunguu swaum punje saba kwa wiki mala mbili tu
2026-06-12 16:20:44
5
Helen :
sawa madam
2026-06-18 11:18:57
1
Mrs somebody ❤️💕❤️ :
mi nimekunywa ila sioni chochote kikitoka ila napata maumivu makali wakati waP
2026-07-19 15:54:22
1
monie🌹🌹🌹 :
jmn hii dawa ni nzuri nina siku Tatu natumia ila naona mabadiliko kbsa 🥰🥰🥰
2026-07-17 10:54:11
2
user19245066402 :
samaani naomba nikuulize ni hz tangawizi za kawaida au ni ipi
2026-07-15 21:31:36
1
big fish :
hii ina tibuu nini
2026-06-24 07:42:58
2
sikujuamalindi399 :
maelekezo mbn hmn jmn
2026-07-04 22:08:49
1
To see more videos from user @tangawizipori, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.