TANBIHI NA UFAFANUZI
Assalaamu 'Alaykum Warahmatullaahi Wabarakaatuh.
Kuhusu ujumbe wangu uliopita, napenda kufafanua kwamba lengo langu lilikuwa ni kutoa tahadhari tu kutokana na tukio nililoelezwa, si kuhamasisha shirki, imani potofu, au kuthibitisha jambo ambalo halijathibitishwa.
Aidha, suala hilo halijathibitishwa kwangu kitabibu, hivyo siwezi kusema kwa yakini kuwa kilichotokea kilisababishwa na simu hiyo. Ninawahimiza ndugu zangu kuhakiki habari, kushikamana na adhkaar, ruqyah ya kisharia, na kumtegemea Allah katika kila hali.
Allah Atulinde sote na kila shari.
✍️Mwandishi: Abuu Salmaan Is'haaq
2026-06-13 06:21:49
7
hilwa.cutey001 :
ni kwl kwale imetokea Allah atunisuru ya rabby
2026-06-11 21:47:37
5
hawaa :
Lahullah Walakuattah illahy BilAlla
2026-06-12 05:33:06
7
Fauziah :
amiin amiin
2026-06-12 07:28:48
4
saadakanga :
laahaulla wallakuwattah illah billah
2026-06-12 04:32:04
6
Faizah :
kumbe ni ukweli hii story
2026-06-12 05:50:51
7
Omar Salim :
wachane urongo
2026-06-16 11:18:07
1
💕 :
SubhanAllah🥺🥺
2026-06-11 21:15:27
5
emiratedavid :
story za jaba😅😅😅
2026-06-12 14:21:58
4
_🦋MinnaTouche🫦💄 :
subhanaallah 🥺
2026-06-12 23:19:23
1
Zuena Hassan :
subahanallah
2026-06-12 18:15:20
1
da_baddest_buoy :
Shukran Shukran Shukran.
Subhannah Allah.
2026-06-12 20:10:04
1
Double -Y-collection :
Innalillah wa Inna illah rajiun 😢
2026-06-12 19:00:18
1
mamy💕🤪 :
Amiin yarabbi almin🤲🤲
2026-06-12 18:18:35
1
Mariam :
Subhana Allah 🥹
2026-06-12 14:30:48
1
nyamawi :
ameen
2026-06-12 17:56:07
1
Bint Harun🥰 :
SubhanaAllah 💔💔
2026-06-12 04:48:22
4
Matha Lao :
subhanallah subhanallah 😭
2026-06-12 05:01:34
3
firdausi :
subhanallah
2026-06-12 14:40:44
1
mombasa thrift collection :
subhanallah waah
2026-06-12 06:01:32
2
Hajra masud :
mbona yaliishaa
2026-06-12 13:58:25
1
swalehe :
ameen yarrab thuma ameen
2026-06-12 17:28:25
1
To see more videos from user @al.akhi.naasir7, please go to the Tikwm
homepage.