Mimi nipo kenya nakipenda sana chakula chako kwanza hiyo pilipili balaa
2026-06-12 08:04:03
32
kd_store_code :
Mungu amsimamie uyu mama anapmbana sana👏👏👏
2026-06-12 05:01:03
25
mwanamke nang'ae @og :
kweli maisha yanabadilika mashallah allah aibarik kaz ya mikono yako
2026-06-12 04:18:21
66
berrie🥀🎀 :
Nanaeuza kitambaa cha kichwani kam cha uyu mama anitag nahitaji🥰
2026-06-12 06:03:07
37
Zury🥰 :
Huyu mama mstaarabu sana maswali magumu na mabay lkn anajibu kwa hekima 🙏Ubarikiwe mama❤️🥰
2026-06-12 07:30:04
32
Jacqu so sweety mom african💝 :
kumbe basketball nichuo
2026-06-12 12:54:01
7
Mariam Mchome :
ni hivi ndio kipaji chake ala kamjalia ivo amini hivo yani ni mpambanaji amini kazi ina mitiani mnoo usijali maneno ya watu amini hivo kilakitu ni mungu tuu
2026-06-12 06:30:23
13
M.H.M🌷🥰 :
Mkono wa kupika 🤣🤣🥰
2026-06-12 04:40:05
14
yuyu♈ :
Mwandishi afutwe kazi tafadhari🙏
2026-06-12 09:07:22
10
Gundani Store :
Hongera kwa biashara nzur🥰
2026-06-12 11:59:38
11
prezzy Dar :
mhmhmh
2026-06-12 14:50:15
0
dee_mimy❤️ :
Anajua kujibu kwa hekima Maashallah😍
2026-06-12 08:14:35
8
mamamuja :
mashallah
2026-06-11 22:08:47
11
NailathAlphat Collection 🎀 :
uboraaa ni kweli 🥰
2026-06-12 04:06:12
34
wemamcute :
Lakini kwer kizuri chajiuza jmn🥰
2026-06-12 06:48:48
5
yooo :
mtangazaji sio
2026-06-12 05:29:42
7
Rama Adam775 :
hamna mwandishi hapa
2026-06-12 05:42:22
6
🦋fur@h@🦋 :
ila maswali mengine Jaman
2026-06-12 05:44:15
5
To see more videos from user @mulastar1, please go to the Tikwm
homepage.